Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Bomani: Serikali imalizie mchakato wa Katiba Mpya

Mwanasheria Mkuu mstaafu, Jaji Mark Bomani ametaka Serikali kuendeleza mchakato wa kupata Katiba Mpya ulioanzishwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Jaji Bomani apigilia msumari katiba mpya.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu, wakati dalili zote zinaonyesha kuwa haiwezekani, unaweza kuzua mtafaruku mkubwa nchini.

Ili kuepusha hali hiyo, ameshauri kura ya maoni iahirishwe hadi baadaye, badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) iendelee na...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani atoa ushauri kupata Katiba Mpya

>Jaji mstaafu Mark Bomani amelishauri Bunge Maalumu la Katiba kuweka kando suala la muundo wa serikali kwa kuwa ndiyo chanzo cha mgawanyiko mkubwa baina ya wajumbe.

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Bomani akejeli wanaotaka kwenda msituni Katiba mpya

Jaji mstaafu Mark Bomani JAJI mstaafu Mark Bomani amewashangaa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai kuwa wasipopata Katiba mpya watakwenda msituni na kuhoji wanakwenda huko kufanya nini wakati msituni ni kwa ajili ya wanyama na si binadamu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba

bomani+clip

 Jaji mstaafu Mark Bomani.

Na Mwandishi wetu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.

Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.

Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Bomani awajia juu mawakili wa serikali

MAWAKILI na wanasheria wa serikali ni wababaishaji wanaolipua kazi jambo linalosababisha serikali kushindwa kesi nyingi. Kwamba licha ya maandalizi mabovu, lipo suala la ubinadamu ambapo jaji au hakimu anaweza kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Mark Bomani atetea Serikali tatu

Jaji mstaafu, Mark Bomani, ametetea kuwepo kwa muundo wa Serikali tatu na kuwabeza wanaodai kuwa ni wa gharama kubwa.

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani