Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Bomani apigilia msumari katiba mpya.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu, wakati dalili zote zinaonyesha kuwa haiwezekani, unaweza kuzua mtafaruku mkubwa nchini.

Ili kuepusha hali hiyo, ameshauri kura ya maoni iahirishwe hadi baadaye, badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) iendelee na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani atoa ushauri kupata Katiba Mpya

>Jaji mstaafu Mark Bomani amelishauri Bunge Maalumu la Katiba kuweka kando suala la muundo wa serikali kwa kuwa ndiyo chanzo cha mgawanyiko mkubwa baina ya wajumbe.

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani: Serikali imalizie mchakato wa Katiba Mpya

Mwanasheria Mkuu mstaafu, Jaji Mark Bomani ametaka Serikali kuendeleza mchakato wa kupata Katiba Mpya ulioanzishwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012.

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Bomani akejeli wanaotaka kwenda msituni Katiba mpya

Jaji mstaafu Mark Bomani JAJI mstaafu Mark Bomani amewashangaa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai kuwa wasipopata Katiba mpya watakwenda msituni na kuhoji wanakwenda huko kufanya nini wakati msituni ni kwa ajili ya wanyama na si binadamu.

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba apigilia msumari escrow

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema pamoja na kutoa maazimio manane kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Bunge limefanya makosa ya kutozijumuisha Wizara ya Fedha na ile ya Viwanda na Biashara katika uchunguzi huo kwa kuwa nazo zinahusika.

 

11 years ago

Dewji Blog

Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba

bomani+clip

 Jaji mstaafu Mark Bomani.

Na Mwandishi wetu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.

Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.

Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Bomani asipuuzwe

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani, amesema kuwa Tanzania kwa sasa haitaweza kupata katiba mpya huku akionya kwamba amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa. Kwa maono...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM, msiyapuuze ya Jaji Bomani

Nianze kwa kunukuu maneno ya Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Serikali, Jaji Mark Bomani kwamba, “Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapaswa kuacha msimamo wake wa kutaka muundo wa serikali mbili na wawaachie wananchi waamue wanachokitaka.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani