Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Bomani asipuuzwe

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani, amesema kuwa Tanzania kwa sasa haitaweza kupata katiba mpya huku akionya kwamba amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa. Kwa maono...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

CCM, msiyapuuze ya Jaji Bomani

Nianze kwa kunukuu maneno ya Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Serikali, Jaji Mark Bomani kwamba, “Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapaswa kuacha msimamo wake wa kutaka muundo wa serikali mbili na wawaachie wananchi waamue wanachokitaka.”

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Bomani awabeza wanaomlaumu Warioba

JAJI mstaafu Mark Bomani, ameeleza kushangazwa na kuhuzunishwa na kauli za baadhi ya viongozi, miongoni mwao wakiwamo anaowaheshimu kuhusu kupinga mapendekezo ya serikali tatu yaliyomo katika rasimu ya pili ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Bomani apigilia msumari katiba mpya.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu, wakati dalili zote zinaonyesha kuwa haiwezekani, unaweza kuzua mtafaruku mkubwa nchini.

Ili kuepusha hali hiyo, ameshauri kura ya maoni iahirishwe hadi baadaye, badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) iendelee na...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani: Kura ya Maoni Aprili 30 ni muujiza

Mwanasheria Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani ameshauri Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa iahirishwe na badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iendelee kuboresha Daftari la Wapigakura.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Mark Bomani atetea Serikali tatu

Jaji mstaafu, Mark Bomani, ametetea kuwepo kwa muundo wa Serikali tatu na kuwabeza wanaodai kuwa ni wa gharama kubwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Jaji Bomani ataka jopo kuijadili Z’bar

bomaniESTHER MNYIKA NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM

JAJI mstaafu Mark Bomani, amesema ili kumaliza dosari zilizojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu kisiwani Zanzibar, njia pekee ni kuunda jopo litakaloweza kumaliza mgogoro uliopo.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Jaji Bomani alisema dosari zinazosemekana zilitokea wakati wa uchaguzi  zinatakiwa zibainike kwa kutumia jopo la wataalamu ambao wanaaminika na ikiwezekana liwe chini ya mmoja wa majaji wakuu wastaafu.

Alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Bomani awajia juu mawakili wa serikali

MAWAKILI na wanasheria wa serikali ni wababaishaji wanaolipua kazi jambo linalosababisha serikali kushindwa kesi nyingi. Kwamba licha ya maandalizi mabovu, lipo suala la ubinadamu ambapo jaji au hakimu anaweza kuwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Andikeni Habari za kumkomboa Mwananchi : Jaji Bomani

DSC_0083

Mshehereshaji ambaye ni Mwanakamati ya maandilizi ya maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2014, Usia Nkhoma Ledama akiwatambulisha baadhi ya waandishi wa habari wakongwe (hawapo pichani) kwa mgeni rasmi Jaji Mstaafu Mark Bomani.(Picha zote na Zainul Mzige).

Na Mwandishi wetu

Jaji Mstaafu Mark Bomani amesema lengo la mchakato wa Katiba ni kuhakikisha kwamba Tanzania inapata Katiba ambayo ni bora zaidi kuliko zote itakayoshughulikia changamoto na kuweka mazingira ambayo...

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani atoa ushauri kupata Katiba Mpya

>Jaji mstaafu Mark Bomani amelishauri Bunge Maalumu la Katiba kuweka kando suala la muundo wa serikali kwa kuwa ndiyo chanzo cha mgawanyiko mkubwa baina ya wajumbe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani