Jaji Bomani atoa ushauri kupata Katiba Mpya
>Jaji mstaafu Mark Bomani amelishauri Bunge Maalumu la Katiba kuweka kando suala la muundo wa serikali kwa kuwa ndiyo chanzo cha mgawanyiko mkubwa baina ya wajumbe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba
Jaji mstaafu Mark Bomani.
Na Mwandishi wetu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.
Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.
Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...
10 years ago
Vijimambo02 Apr
Jaji Bomani apigilia msumari katiba mpya.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mark-2April2015.jpg)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu, wakati dalili zote zinaonyesha kuwa haiwezekani, unaweza kuzua mtafaruku mkubwa nchini.
Ili kuepusha hali hiyo, ameshauri kura ya maoni iahirishwe hadi baadaye, badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) iendelee na...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Jaji Bomani: Serikali imalizie mchakato wa Katiba Mpya
11 years ago
Habarileo04 May
Jaji Bomani akejeli wanaotaka kwenda msituni Katiba mpya
JAJI mstaafu Mark Bomani amewashangaa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai kuwa wasipopata Katiba mpya watakwenda msituni na kuhoji wanakwenda huko kufanya nini wakati msituni ni kwa ajili ya wanyama na si binadamu.
10 years ago
Habarileo25 Feb
Viongozi wapewa ushauri wa Katiba mpya
SERIKALI mkoani Kagera imewashauri viongozi wa kidini na kisiasa kulitazama suala la Katiba mpya kwa maslahi ya nchi na si kwa maslahi ya mtu binafsi na vyama fulani ili kuepuka kuwapoteza wananchi ambao wameanza kukosa mwelekeo.
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Tusiposikiliza ushauri, tutaandaa katiba mpya itakayovuruga amani
KUMEKUWEPO na hoja zinazotolewa na pande zote kuwa mchakato wa kuandika upya Katiba mpya usitishwe kwa muda ili kutafuta maridhiano na kusahihisha baadhi ya kasoro za kisheria na kikanuni zinazolalamikiwa...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Jaji Bomani asipuuzwe
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani, amesema kuwa Tanzania kwa sasa haitaweza kupata katiba mpya huku akionya kwamba amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa. Kwa maono...
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Tunisia kupata katiba mpya