Jaji Bomani awabeza wanaomlaumu Warioba
JAJI mstaafu Mark Bomani, ameeleza kushangazwa na kuhuzunishwa na kauli za baadhi ya viongozi, miongoni mwao wakiwamo anaowaheshimu kuhusu kupinga mapendekezo ya serikali tatu yaliyomo katika rasimu ya pili ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-D6jzGhxpqTw/VgFSU7wmRFI/AAAAAAAAn6U/Tt1AlaI5QWY/s640/3.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Jaji Bomani asipuuzwe
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani, amesema kuwa Tanzania kwa sasa haitaweza kupata katiba mpya huku akionya kwamba amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa. Kwa maono...
11 years ago
Habarileo24 Jan
Bomani amtetea Warioba serikali tatu
JAJI mstaafu, Mark Bomani amemtetea Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kwa kusisitiza kuwa siyo mwanzilishi wa serikali tatu na kwamba amewasilisha mapendekezo yaliyopitishwa na wajumbe wa Tume hiyo. Bomani alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.
11 years ago
Mwananchi29 Jan
CCM, msiyapuuze ya Jaji Bomani
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?
BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s72-c/1.jpg)
JAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA
![](http://2.bp.blogspot.com/-uKLJ9Ntx00A/VgFSUrXVFrI/AAAAAAAAn6Q/65ZBlXFYSkY/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-wj5l-WSI6eA/VgFSUm3kmGI/AAAAAAAAn6Y/SduVxz1S-9c/s640/2.jpg)
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Jaji Mark Bomani atetea Serikali tatu
9 years ago
Mtanzania18 Dec
Jaji Bomani ataka jopo kuijadili Z’bar
ESTHER MNYIKA NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
JAJI mstaafu Mark Bomani, amesema ili kumaliza dosari zilizojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu kisiwani Zanzibar, njia pekee ni kuunda jopo litakaloweza kumaliza mgogoro uliopo.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Jaji Bomani alisema dosari zinazosemekana zilitokea wakati wa uchaguzi zinatakiwa zibainike kwa kutumia jopo la wataalamu ambao wanaaminika na ikiwezekana liwe chini ya mmoja wa majaji wakuu wastaafu.
Alisema...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Jaji Bomani awajia juu mawakili wa serikali
MAWAKILI na wanasheria wa serikali ni wababaishaji wanaolipua kazi jambo linalosababisha serikali kushindwa kesi nyingi. Kwamba licha ya maandalizi mabovu, lipo suala la ubinadamu ambapo jaji au hakimu anaweza kuwa...