Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mufti Zanzibar atoa kauli nzito

VIONGOZI wa dini wa madhehebu mbalimbali Zanzibar, wamewataka viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo wagombea wa nafasi ya urais, kukubali na kuheshimu matokeo yatakayotangazwa na taasisi husika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kigoda atoa kauli nzito



NA REHEMA MAIGALA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda amewataka wajasiriamali wanaoanza biashara zao wasiwe wanalipishwa kodi mpaka baada ya miaka mitatu. Amesema kuwalipisha kodi wajasiriamali hao kunasababisha biashara zao kutoendelea na kutofikia malengo waliyojiwekea katika uendelevu wa biashara na maendeleo kwa jumla. Akizungumza na Uhuru jana  jijini Dar es Salaam, Dk. Kigoda alisema kuwalipisha kodi wajasiriamali ambao ndio kwanza wanaanza, kunawaharibia malengo yao....

 

11 years ago

GPL

DUU! JULIO ATOA KAULI NZITO

Aliyekuwa kocha wa Simba,Jamhuli Kihwelo 'Julio'. Na Shakoor Jongo
ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye sasa ni kocha wa Mwadui ya Shinyanga, amevunja ukimya na kufungukia juu ya madai ya kuhusishwa na mapenzi ya jinsi moja ‘ushoga’.
Julio alizungumza hilo hadharani wakati alipohudhuria hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengele...

 

11 years ago

Dewji Blog

Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba

bomani+clip

 Jaji mstaafu Mark Bomani.

Na Mwandishi wetu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.

Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.

Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...

 

5 years ago

Michuzi

MWENYEKITI CWT SINGIDA AJIUZULU, ATOA KAULI NZITO, AWAOMBA WALIMU KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Singida, Aran Jumbe akizungumza mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho ngazi ya mkoa muda mfupi kabla ya kujiuzulu nafasi yake.
Mwenyekiti mpya wa chama hicho Mkoa wa Singida, Hamis Mtundua akizungumza baada ya kuchaguliwa.
Mtundua akijaza fomu maalamu ya uongozi. Kushoto ni Afisa Kazi Mkoa wa Singida, Boniface Ntalula.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CWT ngazi ya mkoa wakifuatilia uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Kitengo cha...

 

9 years ago

Michuzi

TAMASHA LA MTOTO KIKE LAFANA, LATOA KAULI NZITO

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Kike Duniani Mkurugenzi wa watoto kutoka Wizara ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Margaret Sawe Mussai akiwaasa watoto wa kike kuzingatia elimu kwani ndio nguzo ya msingi katika maisha yao wakati w siku ya Mtoto wa Kike Duniani iliyofanyika katika viwanja vya shule ya Tandale jijini Dar. (Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).Na Mwandishi wetuWAKATI serikali imekiri kwamba pamoja na kuwa na sheria kali za kuzuia ukatili kwa watoto bado kuna...

 

9 years ago

GPL

TAMASHA LA MTOTO KIKE LAFANA, LATOA KAULI NZITO‏

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Kike Duniani Mkurugenzi wa watoto kutoka Wizara ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Margaret Sawe Mussai akiwaasa watoto wa kike kuzingatia elimu kwani ndio nguzo ya msingi katika maisha yao wakati w siku ya Mtoto wa Kike Duniani iliyofanyika katika viwanja vya shule ya Tandale jijini Dar. (Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog). Na Mwandishi wetu WAKATI serikali imekiri kwamba...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkwasa atoa siri nzito Yanga

Ofisa Mtaalam wa Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Boniface Mkwasa.
Ofisa Mtaalam wa Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Mkwasa amesema ana mkataba wa kuinoa Yanga aliopewa na uongozi wa Wanajangwani kabla ya kuchezwa kwa mechi ya 'Nani Mtani Jembe 2'.

Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi, Yanga ilipokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Simba, matokeo ambayo yamewafukuzisha kazi aliyekuwa Kocha Mkuu, Mbrazil Márcio...

 

5 years ago

CCM Blog

MUFTI WA TANZANIA ATOA MWONGOZO KUHUSU KORONA

Ripoti ya matukio ya Kiislamu inahusu mwongozo uliotolewa na Mufti wa Tanzanua Sheikh Abubakar Zubeir Ali leo Ijumaa kuhusiana na ugonjwa wa Corona ambapo amemshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuitikia Dua za watanzania.Taarifa iliyosomwa na msemaji wa mufti Sheikh Hassan Chizenga, mufti ametoa muongozo huo kufuatia habari ya kupungua maambukizi ya Corona nchini Tanzania. Amesema kuwa, kutokana na maendeleo hayo, vyuo vya dini ya Kiislamu ambavyo vina watu wazima,  wanafunzi warejee kama...

 

11 years ago

Habarileo

Zitto atoa tuhuma nzito ufutaji misamaha

WAFANYABIASHARA wakubwa wanadaiwa kuwatumia baadhi ya wabunge kuhakikisha muswada wa kufuta misamaha ya kodi haupelekwi bungeni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani