Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA MTOTO KIKE LAFANA, LATOA KAULI NZITO

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Kike Duniani Mkurugenzi wa watoto kutoka Wizara ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Margaret Sawe Mussai akiwaasa watoto wa kike kuzingatia elimu kwani ndio nguzo ya msingi katika maisha yao wakati w siku ya Mtoto wa Kike Duniani iliyofanyika katika viwanja vya shule ya Tandale jijini Dar. (Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).Na Mwandishi wetuWAKATI serikali imekiri kwamba pamoja na kuwa na sheria kali za kuzuia ukatili kwa watoto bado kuna...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

TAMASHA LA MTOTO KIKE LAFANA, LATOA KAULI NZITO‏

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Kike Duniani Mkurugenzi wa watoto kutoka Wizara ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Margaret Sawe Mussai akiwaasa watoto wa kike kuzingatia elimu kwani ndio nguzo ya msingi katika maisha yao wakati w siku ya Mtoto wa Kike Duniani iliyofanyika katika viwanja vya shule ya Tandale jijini Dar. (Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog). Na Mwandishi wetu WAKATI serikali imekiri kwamba...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kigoda atoa kauli nzito



NA REHEMA MAIGALA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda amewataka wajasiriamali wanaoanza biashara zao wasiwe wanalipishwa kodi mpaka baada ya miaka mitatu. Amesema kuwalipisha kodi wajasiriamali hao kunasababisha biashara zao kutoendelea na kutofikia malengo waliyojiwekea katika uendelevu wa biashara na maendeleo kwa jumla. Akizungumza na Uhuru jana  jijini Dar es Salaam, Dk. Kigoda alisema kuwalipisha kodi wajasiriamali ambao ndio kwanza wanaanza, kunawaharibia malengo yao....

 

9 years ago

Habarileo

Mufti Zanzibar atoa kauli nzito

VIONGOZI wa dini wa madhehebu mbalimbali Zanzibar, wamewataka viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo wagombea wa nafasi ya urais, kukubali na kuheshimu matokeo yatakayotangazwa na taasisi husika.

 

11 years ago

GPL

DUU! JULIO ATOA KAULI NZITO

Aliyekuwa kocha wa Simba,Jamhuli Kihwelo 'Julio'. Na Shakoor Jongo
ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye sasa ni kocha wa Mwadui ya Shinyanga, amevunja ukimya na kufungukia juu ya madai ya kuhusishwa na mapenzi ya jinsi moja ‘ushoga’.
Julio alizungumza hilo hadharani wakati alipohudhuria hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengele...

 

11 years ago

Dewji Blog

Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba

bomani+clip

 Jaji mstaafu Mark Bomani.

Na Mwandishi wetu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.

Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.

Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA UTAMADUNI LAFANA JAPAN

Mtanzania Jumanne akiwa na familia yake walipohudhuria tamasha la utamaduni lililofanyia kuanzia May 9 mpaka May 10 katika viwanja vilivyopo Machida, Tokyo nchini Japan na kushirikisha nchi mbalimbali kuonyesha tamaduni zao ikiwemo mavazi. vyakula na mambo mengine mengi yahusuyo utamaduni.Mtanzania Shaban akiwa na mama mwenye nyumba wake walipohudhuria maonesho hayo.Kikundi cha Tinga tinga toka Tanzania nao wakionyesha michoro yao.Moja ya familia ya Kitanzania ikihudhuria tamasha hilo.Wadau...

 

9 years ago

CCM Blog

TAMASHA LA KRISMAS LAFANA DAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiinua CD juu kama ishara ya uzinduzi wa album ya kundi la muziki wa kwaya la Wakorinto wa Pili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye Tamasha la Chrismas lililoandaliwa na kampuni ya Msama Promotions.
 Katika Tamasha hilo Mheshimiwa Nape alisema kuwa Serikali inatambua juhudi za Wasanii na kuahidi kila msanii atapata stahiki yake anayotakiwa kupata.
 Nape ambaye alimuwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu ,alielezea...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUMUENZI MZEE KAWAWA LAFANA

 Wachezaji  Bao nguli hapa nchini wakioneshana ubingwa katika Tamasha la Kumuenzi aliekuwa Mlezi wa Mchezo huo Hayati  Rashidi Mfaume Kawawa. Rais wa Chama cha Mchezo wa Bao mchini Bw Mandei Likwepa akionesha moja ya barua kwa waandishi wa habari hawapo pichani iliyo andika na aliekuwa Mlezi wa Mchezo huo Hayati  Rashidi Mfaume Kawawa enzi za uhai wake.

 Mfanya biashara maarufu nchini Bw Mohamed Sharifu akiongea jambo mbele ya wanahabari, wapenzi na wachezaji wa mchezo wa Bao walioudhuria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani