DUU! JULIO ATOA KAULI NZITO
![](http://api.ning.com:80/files/5vBx3EI3-TExAH774p4DhgHgntCP6q5DV3IwG*9QqXWn2gYRzPDNHraAK-SwHEX5LV7bDtC-xWkevHhNp9BlAq9zvrW7LPpR/julioooooooooo.jpg?width=650)
Aliyekuwa kocha wa Simba,Jamhuli Kihwelo 'Julio'. Na Shakoor Jongo ALIYEKUWA Kocha wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ambaye sasa ni kocha wa Mwadui ya Shinyanga, amevunja ukimya na kufungukia juu ya madai ya kuhusishwa na mapenzi ya jinsi moja ‘ushoga’. Julio alizungumza hilo hadharani wakati alipohudhuria hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengele...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Mar
Kigoda atoa kauli nzito
NA REHEMA MAIGALA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda amewataka wajasiriamali wanaoanza biashara zao wasiwe wanalipishwa kodi mpaka baada ya miaka mitatu. Amesema kuwalipisha kodi wajasiriamali hao kunasababisha biashara zao kutoendelea na kutofikia malengo waliyojiwekea katika uendelevu wa biashara na maendeleo kwa jumla. Akizungumza na Uhuru jana jijini Dar es Salaam, Dk. Kigoda alisema kuwalipisha kodi wajasiriamali ambao ndio kwanza wanaanza, kunawaharibia malengo yao....
9 years ago
Habarileo17 Oct
Mufti Zanzibar atoa kauli nzito
VIONGOZI wa dini wa madhehebu mbalimbali Zanzibar, wamewataka viongozi wa vyama vya siasa ikiwemo wagombea wa nafasi ya urais, kukubali na kuheshimu matokeo yatakayotangazwa na taasisi husika.
11 years ago
Dewji Blog04 Jul
Jaji Bomani atoa kauli nzito Bunge la Katiba
Jaji mstaafu Mark Bomani.
Na Mwandishi wetu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji mstaafu Mark Bomani, amesema Tanzania haitapata Katiba mpya hivi sasa huku akionya kwamba, amani ya nchi itavunjika iwapo jambo hilo litalazimishwa.
Kauli ya mkongwe huyo wa sheria, imekuja wakati tayari wajumbe wa Bunge maalum la Katiba, wamegawanyika pande mbili, wapo wanaotaka serikali mbili na wengine wanaosisitiza serikali tatu.
Mgawanyiko huo, uliibuka wakati wa kujadili muundo wa serikali,...
5 years ago
MichuziMWENYEKITI CWT SINGIDA AJIUZULU, ATOA KAULI NZITO, AWAOMBA WALIMU KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Singida, Aran Jumbe akizungumza mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho ngazi ya mkoa muda mfupi kabla ya kujiuzulu nafasi yake.
![](https://1.bp.blogspot.com/-1iYnaGyXfzk/XsIO8X7ECqI/AAAAAAAAMRs/Vsj9o_ixAskUrFFcI6ullnFDYIiww5XEQCLcBGAsYHQ/s640/2.png)
Mwenyekiti mpya wa chama hicho Mkoa wa Singida, Hamis Mtundua akizungumza baada ya kuchaguliwa.
Mtundua akijaza fomu maalamu ya uongozi. Kushoto ni Afisa Kazi Mkoa wa Singida, Boniface Ntalula.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CWT ngazi ya mkoa wakifuatilia uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Kitengo cha...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Ukweli, mantiki na uhalisia wa kauli ya Julio
ALIYEKUWA kocha msaidizi wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wiki iliyopita alipokea leseni ya daraja la pili (Class B) inayotambuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutokana na ushiriki wake wa...
9 years ago
MichuziTAMASHA LA MTOTO KIKE LAFANA, LATOA KAULI NZITO
9 years ago
GPLTAMASHA LA MTOTO KIKE LAFANA, LATOA KAULI NZITO
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Julio atoa ruksa wachezaji kula bata
Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Martha Mboma, Dar es Salaam
BAADA ya ligi kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi, Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji wake kwenda mapumziko.
Mwadui ambayo inashika nafasi ya tano ikiwa na pointi 22 nyuma ya Simba ambao wana alama 24, ikiwa ni msimu wake wa kwanza baada ya kushuka miaka kadhaa iliyopita mchezo wake wa mwisho ilitoka sare ya bao 1-1 na vijana hao wa...
10 years ago
Vijimambo18 Dec
Mkwasa atoa siri nzito Yanga
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Boniphace-Mkwasa--December18-2014.jpg)
Ofisa Mtaalam wa Mafunzo wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Boniface Mkwasa amesema ana mkataba wa kuinoa Yanga aliopewa na uongozi wa Wanajangwani kabla ya kuchezwa kwa mechi ya 'Nani Mtani Jembe 2'.
Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Jumamosi, Yanga ilipokea kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Simba, matokeo ambayo yamewafukuzisha kazi aliyekuwa Kocha Mkuu, Mbrazil Márcio...