Zitto atoa tuhuma nzito ufutaji misamaha
WAFANYABIASHARA wakubwa wanadaiwa kuwatumia baadhi ya wabunge kuhakikisha muswada wa kufuta misamaha ya kodi haupelekwi bungeni.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 May
Maalim Seif atoa tuhuma nzito ZEC
>Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad ametoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akidai kuwa iliandikisha na kuruhusu wapigakura wasiostahili zaidi ya 10,000 kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2010, wakiwamo marehemu 8,507.
10 years ago
Habarileo22 Jan
Zitto akiri JK amefuta misamaha ya kodi
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC), imekiri kuwa hadi sasa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ipo, lakini pamoja na kusainiwa na Rais bado haijaanza kutekelezwa jambo linalosababisha misamaha ya kodi izidi kupaa.
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Zitto awavaa TRA, akerwa na Misamaha ya kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema misamaha ya kodi imepanda kutoka Sh1.4 trilioni mwaka 2012/13 hadi Sh1.8 trilioni mwaka 2013/14, kueleza kuwa chanzo ni misamaha ya kodi katika miradi mikubwa.
11 years ago
GPL
SNURA TUHUMA NZITO
Stori:Â Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi ameingia kwenye majanga baada ya kudaiwa kukacha na deni la prodyuza Mohammed Kandoro wa Studio za Fire Music ambaye alimrekodia nyimbo kadhaa wakati akisaka kutoka. Snura Mushi. Habari kutoka kwa chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Snura ameingia mitini na kiasi cha Tsh. 400,000 za prodyuza huyo na kwamba sasa amehamia studio nyingine. Risasi...
11 years ago
Mwananchi28 Aug
Tuhuma nzito kwa mawaziri
 Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), limedai kuwa baadhi ya mawaziri na manaibu wao wamekuwa wakilipwa posho za kuhudhuria vikao vya Bunge Maalumu la Katiba hata wanapokuwa hawapo bungeni.
11 years ago
Mwananchi18 May
Tuhuma nzito Bajeti Nishati na Madini
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono wameingia katika mvutano baada ya ujumbe wa maandishi wa kutaka kukwamisha bajeti ya wizara hiyo kusambazwa kwa wabunge.
11 years ago
Mwananchi17 Oct
Mkurugenzi wa Camatec ashushiwa tuhuma nzito
Kaimu mkurugenzi mkuu wa Shirika la Vifaa vya Kilimo na Teknolojia (Camatec), Elfariji Makongoro ameshushiwa tuhuma nzito za matumizi mabaya ya mali za umma mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi, ikiwamo kutumia magari ya shirika kwenye harusi ya mpwa wake.
10 years ago
GPL
TUHUMA NZITO: MAMA AMCHARANGA VIWEMBE MWANAYE
Stori: Gabriel Ng’osha na Denis Mtima/Ijumaa
Unyama wa kutisha! Mama mzazi aliyetajwa kwa jina la Feromena, mkazi wa Meko-Mtongani, Kunduchi jijini Dar, anatuhumiwa kumcharanga viwembe mwanaye wa kumzaa aliyetajwa kwa jina moja la Zena mwenye umri wa miaka kumi. Mtoto anayefahamika kwa jina la Zena anayedai kunyanyaswa na mama yake. Tukio hilo la kulaaniwa lilijiri Jumanne wiki hii nyumbani kwa mwanamke huyo maeneo hayo...
11 years ago
GPL
MAMA WA LULU ATUPIWA TUHUMA NZITO, ANG’AKA
Mama mzazi wa Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
MAMA wa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupiwa tuhuma nzito kuwa ni mnywaji wa pombe sana hali inayomfanya mwanaye huyo alalamikie pembeni. Chanzo kilicho karibu na familia hiyo kimeliambia Amani juzi kuwa, Lulu amekuwa akijituma kuhakikisha kila kitu kwenye familia kinakwenda...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania