Zitto awavaa TRA, akerwa na Misamaha ya kodi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema misamaha ya kodi imepanda kutoka Sh1.4 trilioni mwaka 2012/13 hadi Sh1.8 trilioni mwaka 2013/14, kueleza kuwa chanzo ni misamaha ya kodi katika miradi mikubwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Nov
TRA yalia na misamaha ya kodi
10 years ago
Habarileo21 Jan
Kamishna Mkuu TRA ‘alia’ na misamaha, ukwepaji kodi
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inaweza kukusanya kiasi cha Sh trilioni tano kwa mwaka kutoka kiasi cha Sh trilioni 3.9 za sasa kwa mwaka, endapo misamaha ya kodi na ukwepaji wa kodi utadhibitiwa.
10 years ago
Habarileo22 Jan
Zitto akiri JK amefuta misamaha ya kodi
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC), imekiri kuwa hadi sasa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ipo, lakini pamoja na kusainiwa na Rais bado haijaanza kutekelezwa jambo linalosababisha misamaha ya kodi izidi kupaa.
10 years ago
Mwananchi20 Jan
‘Misamaha ya kodi ni hasara’
10 years ago
Habarileo04 Dec
Washinikiza misamaha ya kodi ifutwe
WADAU wa asasi kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wameishauri serikali kufuta misamaha ya kodi ili fedha zitakazokusanywa ziweze kutumika kuboresha na kuimarisha huduma za kijamii ikiwemo elimu, afya na kilimo.
9 years ago
Mwananchi10 Sep
Magufuli: Nitaondoa misamaha ya kodi
10 years ago
Habarileo20 Jan
Misamaha ya kodi yachefua wabunge
KAMATI ya Hesabu za Serikali (PAC) imeitaka Serikali kufanya kila linalowezekana inapunguza misamaha ya kodi ambayo katika mwaka wa fedha 2013/14 ilipaa kwa Sh bilioni 340 kutoka Sh trilioni 1.48 hadi Sh trilioni 1.82 mwaka uliopita.
11 years ago
Habarileo28 Jun
Misamaha ya kodi yapigwa kalenda
KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imekataa kubariki Muswada wa Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na Muswada wa Sheria ya Utawala wa Kodi, ambayo ilikuwa iwasilishwe bungeni Jumatatu ijayo na kujadiliwa, ili misamaha ya kodi isiyo na tija ifutwe.
11 years ago
Mwananchi11 Jul
Misamaha, ukwepaji kodi unavyotesa Watanzania