BUNGE LA KATIBA NGOMA INOGILE!
![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsOBsZCQQ6b-s0-hoORkH27hmf97wQ-5BMLUSCxxAYyqV-4AOXaUduAv01ZWJ0ydkssvhDEZQQbpa-XhPG73NskuA/BUNGE.jpg?width=640)
Stori: Mwandishi Wetu, Dodoma WAKATI msuguano wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ukiendelea mjini Dodoma na kuzua majadiliano makali juu ya upigaji kura ya wazi au ya siri, ngoma inogile kwani inatabiriwa kuwa huenda bunge hilo lisifikishe siku 90 za uhai wake na kuishia siku 70, baadhi wa wajumbe wameliambia Risasi Mchanganyiko. Wakizungumza bila ya kutaka kutajwa majina yao, baadhi ya wajumbe wa bunge hilo wamesema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Yanga ngoma inogile kileleni
11 years ago
Mwananchi05 Feb
Simba, Mtibwa ngoma inogile
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Bunge la Katiba ngoma nzito
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-J7TyexRp0RY/UviSjsMHrHI/AAAAAAAFMDE/xs4iWf62rJE/s72-c/1.jpg)
UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano
![](http://2.bp.blogspot.com/-J7TyexRp0RY/UviSjsMHrHI/AAAAAAAFMDE/xs4iWf62rJE/s1600/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-o5sZn-mfKy8/UviSkzUUgII/AAAAAAAFMDY/kBeYxCxYVLA/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AV9UXPlH8_A/UviSl8oAIjI/AAAAAAAFMDk/Zlh5ap4Atqo/s1600/3.jpg)
11 years ago
Michuzi20 Feb
taswira mbalimbali za WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-jyUmlW2B5UM/UwYVaXuz21I/AAAAAAACprg/y0XD14-INGE/s1600/mtanda.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-15UcnFNNLik/UwYVcoRJp-I/AAAAAAACprw/eOOpdzCRJHA/s1600/WMK.jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-FJdD5nbXlWw/UwYVS8qkz6I/AAAAAAACprY/5a9HX2w8teI/s1600/2B.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gb_hmItxCFM/U_yjdqFoofI/AAAAAAAGCiU/p2LUak-hf6c/s72-c/unnamed%2B(23).jpg)
Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa