SIRI 5 ZAVUJA MAPIGANO NA MAGAIDI TANGA
![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-3Sx0M-9nw2N9-8NiZbIPD1IvHJj-rYHgqpvdfioWzx1nQLDqBsapFsyLDdM659QeRk2O0uaLFd3pL8jrjK-qOM/Tanga.jpg)
STORI: Mwandishi Wetu/Amani IMEBAINIKA! Mapambano na wahalifu wanaosadikiwa ni magaidi kwenye Kitongoji cha Amboni jijini Tanga, yameingia sura nyingine baada ya wakazi wa kitongoji hicho kuvujisha siri tano, Amani limenyetishiwa. Polisi wakiwa kwenye mapigano na wahalifu hao. WALIKUWA NA WAPENZI Kwa mujibu wa mkazi mmoja wa eneo hilo, wahalifu hao walishakuwa na wanawake kwenye eneo hilo, hivyo kama walikuwa na mpango wa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m2dop3vQlLkQPK89aQQvAo2miE-STd5PIrG*wweSQ8KIl6xa5R-6xeFlmRd5gmTnezmB*2lrdZW0BauuEVftvrnCvFac*kky/FRONTUWAZI.jpg)
MAPIGANO NA MAGAIDI TANGA HII NDIYO FULL STORY
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2bZFbTdr*xywiKCiZsG*txgZcLxbkng95NjmzBLK18nhv8eW2djB70eKFvFn-Z3J3n93KsJnPI1xqXgcc4z8DNN/q.jpg)
MAPIGANO TANGA, NGOMA BADO NZITO WALE MAGAIDI WATAJWA KUWA NI MAKOMANDO
10 years ago
CloudsFM13 Mar
SIRI ZA PICHA ZA OMMY DIMPOZ NA WEMA SEPETU ZAVUJA
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09X1BwwEx7Q1l1OL0b927qBJvRfqGZQBjL6nMw8yp0xzCzcXA5brRmKIEGcQ0QqJHHjGk3vsjs7j403xq655l2MD/wdddddddddd.jpg)
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09WLAU69FkQw3iFOLo5Eh8J5RYUStr403glzVy5Qv9pUt*GLkz0L0nmrlZP2QL8Ehw7qGaFVebHLAmqQs4qUvWUr/weee.jpg)
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09U0SvlqjX12*AoZXk7HM9al7agJzdXiKqZq5efDHyONKWYv*GbBIE8My1CyPMlyszJblr-Vd-6GUGS0fOYhuGSb/wwwwwwwwwwwwwwww.png)
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Ugaidi Tanga Siri nzito
OSCAR ASSENGA, TANGA
WAKATI nchi ikiwa bado kwenye taharuki ya mashambulio yanayodaiwa kufanana na ya kigaidi yaliyotokea katika Kijiji cha Mleni nje kidogo ya Jiji la Tanga, kumezuka madai mapya yanayowashutumu viongozi wa Jeshi la Polisi kwa kushindwa kutoa uamuzi wa haraka kudhibiti wahalifu hao.
Uzembe huo unadaiwa kufanywa na uongozi wa polisi makao makuu Dar es Salaam pamoja na Tanga na hivyo kutoa fursa kwa wahalifu kufanya mashambulio na baadaye kutoroka.
Chanzo cha kuaminika kutoka...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*D4vbk2uNmX8Ipn0j7Tmutsk4ilAM6eY5HAsCIqhQdDIvhVfMSbgAhBfhniY9l92wBsYdooyT65pQTZXSJKbPFd/iphone6.jpg)
PICHA ZA iPHONE 6 ZAVUJA MITANDAONI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGZ4nlOVL9A7BJrsuPFL4*PfWy9hYgYAqfk-va2qHhjmt08cojJF6-FfVuliUAhHx5wTCpTD*0PMOntYcpiPgxYT/BACKpdf.jpg?width=650)
PICHA ZA KIPIGO CHA DIDA ZAVUJA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j-DiiE-nbb8zMsCrs6Tu2olOJOHkxfvPaseJOXTIFQvOGYXZj-NfsEA0lcvWj12ia-ZitueqCnZkfitnTYPCs7ro5yLrydgj/jack.jpg)
AIBU! PICHA ZA JACK DUSTAN AKIOGA BAFUNI ZAVUJA
9 years ago
Mzalendo Zanzibar02 Oct
CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI
Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]
The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.