PICHA ZA KIPIGO CHA DIDA ZAVUJA
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGZ4nlOVL9A7BJrsuPFL4*PfWy9hYgYAqfk-va2qHhjmt08cojJF6-FfVuliUAhHx5wTCpTD*0PMOntYcpiPgxYT/BACKpdf.jpg?width=650)
Stori: Shakoor Jongo Picha zinazoonyesha jinsi mtangazaji wa kituo cha Redio cha Times, Khadija Shaibu alivyochezea kichapo kutoka kwa mumewe, Edzen Jumanne zimevuja. Majeraha katika mwili wa Dida baada ya kipigo kutoka kwa mumewe Ezden. Picha hizo zinamuonesha Dida akiwa na majeraha makubwa sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo mkononi, kichwani na mapajani.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*D4vbk2uNmX8Ipn0j7Tmutsk4ilAM6eY5HAsCIqhQdDIvhVfMSbgAhBfhniY9l92wBsYdooyT65pQTZXSJKbPFd/iphone6.jpg)
PICHA ZA iPHONE 6 ZAVUJA MITANDAONI
10 years ago
CloudsFM13 Mar
SIRI ZA PICHA ZA OMMY DIMPOZ NA WEMA SEPETU ZAVUJA
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09X1BwwEx7Q1l1OL0b927qBJvRfqGZQBjL6nMw8yp0xzCzcXA5brRmKIEGcQ0QqJHHjGk3vsjs7j403xq655l2MD/wdddddddddd.jpg)
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09WLAU69FkQw3iFOLo5Eh8J5RYUStr403glzVy5Qv9pUt*GLkz0L0nmrlZP2QL8Ehw7qGaFVebHLAmqQs4qUvWUr/weee.jpg)
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09U0SvlqjX12*AoZXk7HM9al7agJzdXiKqZq5efDHyONKWYv*GbBIE8My1CyPMlyszJblr-Vd-6GUGS0fOYhuGSb/wwwwwwwwwwwwwwww.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j-DiiE-nbb8zMsCrs6Tu2olOJOHkxfvPaseJOXTIFQvOGYXZj-NfsEA0lcvWj12ia-ZitueqCnZkfitnTYPCs7ro5yLrydgj/jack.jpg)
AIBU! PICHA ZA JACK DUSTAN AKIOGA BAFUNI ZAVUJA
9 years ago
StarTV24 Aug
Timu ya Ngassa yapata kipigo cha mbwa mwizi cha 4-0
![](http://2.bp.blogspot.com/-O3yxJUEbx6U/VdmZnmQQGuI/AAAAAAABm1I/-CU5iUl2nIw/s640/13dc4207e53088253da60d7926d652d7.jpg)
TIMU ya Free State Stars yenye Mtanzania, Mrisho Khalfan Ngassa imefungwa mabao 4-0 jana na Kaizer Chiefs katika mchezo wa Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini Uwanja wa FNB, Johannesburg.
Huo unakuwa mchezo wa pili Free State kufungwa, baada ya wiki mbili zilizopita kufungwa 1-0 nyumbani na Mpumalanga Blac Aces.
Katika mchezo wa jana ambao Ngassa hakucheza, mabao ya Kaizer Chiefs yalifungwa na Siboniso Gaxa dakika ya 34,...
10 years ago
Vijimambo11 Apr
BAADA YA KIPIGO CHA TAREHE 8 CHA BAO 8 JULIO ATUPIWA VILAGO KWENYE KAMATI YA UFUNDI YA COASTAL
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/Jamhuri-Kihwelo-Julio.jpg)
KOCHA wa Coastal Union, Jamhuri Musa Kiwhelo ‘Julio’ ametimuliwa baada ya kichapo cha magoli 8-0 alichopata kutoka kwa Yanga jumatano ya wiki hii.Taarifa za ndani na za uhakika kutoka kwa viongozi wa Coastal, siku hiyo baada ya kipigo walikubaliana kumtimua Julio na yeye alipewa taarifa hizo na kukubali.
Ili kulinda heshima yake, Julio akaomba aongoze mechi ya jumamosi uwanja wa Azam Complex dhidi ya Jkt Ruvu jumamosi ya wiki hii kwa nia ya kuogopa kudhalilishwa.
Baada ya mechi hiyo dhidi ya...
9 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Rihanna akava jarida la Vanity Fair, aeleza kwanini alirudiana na Chris Brown licha ya kumjeruhi kwa kipigo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xMCtlOLhuRcqY74DAuxrcwjqIlq8PN8xdefI1AC-IGKIIVBI4fDbceaBWvRD01pONLR6vi8vEcOlKuWgRrR8iE9MMblVO8fX/MANJI.jpg?width=650)
MANJI AKUBALI KIPIGO CHA 3-1
9 years ago
Habarileo06 Dec
Bayern wajilaumu kipigo cha 3-1
MABINGWA Bayern Munich inabidi wajilaumu wenyewe kwa kupokea kichapo cha kwanza licha ya kutawala kipindi cha kwanza katika mchezo huo dhidi ya Borussia Moenchengladbach.