Kerr ampa jukumu zito Hanspope Simba
NA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, ameipa jukumu zito kamati ya usajili ya klabu hiyo iliyo chini ya Mwenyekiti, Zacharia Hanspope, kuhakikisha wanasajili mshambuliaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Simba ina washambuliaji; Khamis Kiiza, Ibrahim Ajibu, Elias Maguli na Mussa Hassan ‘Mgosi’, lakini agizo hilo la kocha limetokana na ubutu ulioonekana katika timu yake.
Katika mchezo wake wa Jumamosi dhidi ya Sports Club Villa Uwanja wa Taifa, Simba...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHV8Cy0PQR3*8ZKiEz73ohQgwRZYp4VWlbxf2FUFTyansqPopx0Kt0RLJVtDB9Ms5njUVAYtKSOHB9KZPttMVnJ/jaja.jpg)
Jaja ampa jukumu zito Okwi Yanga SC
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Tenga akabidhiwa jukumu zito TFF
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemteua Rais aliyepita wa Shirikisho hilo, Leodegar Tenga, kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu Tanzania (TFF Development Trust Fund), ambao umezimiwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyQYleZM2l34Vygsi3lKxJyqqnZhcjUnW7zYM*w5VpmE9uIgyt0uRe1T-o4ryhkXjvk2TpEdCUe14zX07Jd*BqFQ/CORT.jpg)
Coutinho apewa jukumu zito Yanga
10 years ago
Mwananchi17 Oct
Dida, Jaja, wabeba jukumu zito Yanga
11 years ago
Tanzania Daima25 May
CD ya Hanspope yawachefua Simba
WAKATI sakata la kuzagaa kwa CD yenye mlengo wa kumpigia kampeni mgombea urais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, likizidi kushika kasi jijini Dar es Salaam, baadhi ya wapenzi na...
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Danny Lyanga ampa jeuri Kerr
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amesema kwa sasa anaweza kutembea kifua mbele baada ya kikosi chake kuanza kukaa katika mstari ulionyooka katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
Jeuri ya Mwingereza huyo imekuja baada ya Simba kuonyesha kiwango cha hali ya juu katika mchezo wao dhidi ya Azam, uliokwisha kwa sare ya mabao 2-2, huku mshambuliaji wao, Danny Lyanga, aking’ara vilivyo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Kerr alisema awali walipokuwa kambini visiwani...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Bifu zito Simba SC
NI wazi mchuano katika uchaguzi mkuu wa klabu ya Simba unazidi kuibua visasi, baada ya jana baadhi ya wagombea kununiana na kukataa kupeana mikono walipokutana kwenye ukumbi wa Gymkhana jijini...
11 years ago
Mwananchi11 May
Wingu zito latanda Simba
9 years ago
Habarileo10 Oct
Kerr ajipa matumaini Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.