Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dida, Jaja, wabeba jukumu zito Yanga

Pambano la watani wa jadi, Yanga na Simba kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam litakuwa mtihani mkubwa kwa nyota watatu wa Yanga kwa sababu tofauti.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Jaja ampa jukumu zito Okwi Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amewapa majukumu mawinga wake kumpigia krosi nzuri mshambuliaji wake mpya, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Jaja, raia wa Brazil, alitua nchini Julai 15, mwaka huu na kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.
Mawinga wa timu...

 

11 years ago

GPL

Coutinho apewa jukumu zito Yanga

Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amempa jukumu jipya zito kiungo mshambuliaji, Andrey Coutinho kwenye kikosi chake.Hiyo ni siku chache tangu ajiunge na kikosi hicho kinachojiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika litakalofanyika mwakani. Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Mbrazili huyo, jukumu hilo alilopewa ni kuhakikisha anapiga kona zote za upande wa kulia, yaani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tenga akabidhiwa jukumu zito TFF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemteua Rais aliyepita wa Shirikisho hilo, Leodegar Tenga, kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu Tanzania (TFF Development Trust Fund), ambao umezimiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Kerr ampa jukumu zito Hanspope Simba

dylanker-haiphongNA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, ameipa jukumu zito kamati ya usajili ya klabu hiyo iliyo chini ya Mwenyekiti, Zacharia Hanspope, kuhakikisha wanasajili mshambuliaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Simba ina washambuliaji; Khamis Kiiza, Ibrahim Ajibu, Elias Maguli na Mussa Hassan ‘Mgosi’, lakini agizo hilo la kocha limetokana na ubutu ulioonekana katika timu yake.

Katika mchezo wake wa Jumamosi dhidi ya Sports Club Villa Uwanja wa Taifa, Simba...

 

10 years ago

Vijimambo

Ngassa, Msuva, Niyonzima wabeba tuzo Yanga SC


KUNDI maarufu la Yanga Facebook Family leo asubuhi katika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam limekabidhi tuzo ya mchezaji bora wa klabu hiyo kwa Mrisho Khalfan Ngassa.Ngassa amechaguliwa mchezaji bora kutokana na mchango wake mkubwa alioonesha mwaka huu klabuni hapo.Pia Haruna Niyonzima amepewa tuzo ya mchezaji bora wa kigeni klabuni hapo wakati Simon Msuva amepewa tuzo ya mfungaji bora wa klabu mwaka msimu huu. Credit: ShaffihDauda number one sports blog.
Yanga facebook family wakipiga...

 

10 years ago

Mwananchi

Dida: Ni uvumilivu unaonisaidia Yanga

Deogratius Bonventure Munishi ‘Dida’ akikaa golini, mashabiki wa Yanga wanakuwa hawana presha. Huyu ni kipa namba moja wa Yanga na Taifa Stars.

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja aipaisha Yanga

Mshambuliaji wa Genilson Santos ‘Jaja’ ameanza kwa kishindo kibarua chake Yanga kwa kufunga bao pekee wakiichapa Chipukizi 1-0  kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota Yanga wamlilia Jaja

Wachezaji wa Yanga wamepokea kwa mshtuko taarifa ya kuondoka kwa mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga yamkomalia Jaja kortini

Wakati kesi ya aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ ikipangwa kusikilizwa Machi 10, klabu hiyo imesema itaiomba mahakama kuisikiliza upande mmoja endapo mchezaji huyo atashindwa kwa mara nyingine kutokea mahakamani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani