Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngassa, Msuva, Niyonzima wabeba tuzo Yanga SC


KUNDI maarufu la Yanga Facebook Family leo asubuhi katika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam limekabidhi tuzo ya mchezaji bora wa klabu hiyo kwa Mrisho Khalfan Ngassa.Ngassa amechaguliwa mchezaji bora kutokana na mchango wake mkubwa alioonesha mwaka huu klabuni hapo.Pia Haruna Niyonzima amepewa tuzo ya mchezaji bora wa kigeni klabuni hapo wakati Simon Msuva amepewa tuzo ya mfungaji bora wa klabu mwaka msimu huu. Credit: ShaffihDauda number one sports blog.
Yanga facebook family wakipiga...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAWI LA FACEBOOK YANGA LAWAJAZA ZAWADI NIYONZIMA, NGASSA NA DIDA


Wachezaji wa Yanga wakiwa wameshika zawadi walizopewa na tawi la Facebook lenye makazi yake Buguruni jijini Dar es Salaam, baada ya kukabidhiwa kama shukurani kwa kushika nafasi ya pili kwenye msimu uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam


Wachezaji wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tawi la Facebook

Mwenyekiti wa Tawi la Facebok Josephat Sinzobakwilaakiongea na wachezaji na benchi la ufundi la Yanga

Kocha wa Yanga, Pluijn akikabidhiwa zawadi yake na mlezi...

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER: Ngassa, Niyonzima ‘staying put’

Young Africans have rubbished reports that their three key players would leave the club during the mid-season transfer window. Midfield maestro Haruna Niyonzima, forward Mrisho Ngassa and defender Mbuyu Twite are linked with transfers to Simba SC and Azam FC.

 

10 years ago

GPL

Maximo awaandaa Msuva, Ngassa kuwamaliza Simba

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo. Goodluck Ngai na Nassor Gallu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil, Marcio Maximo, amewaandaa viungo washambuliaji Mrisho Ngassa na Simon Msuva kuwa ndiyo chachu kubwa ya ushindi wake dhidi ya watani wao wa jadi Simba, katika mchezo wao wa Oktoba 18, kwenye Uwanja wa Taifa. Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa raundi ya nne wa Ligi Kuu Bara, huku zikiwa na kumbukumbu ya sare ya bao...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkwara wake lazima Msuva na Ngassa watulie


By Doris Maliyaga Hata hivyo, Geofrey Mwashiuya, winga mpya wa Yanga anajipa moyo kuwa, mradi ametua Jangwani, yupo tayari kukabiliana na ushindani wowote wa namba.
Hata hivyo, Geofrey Mwashiuya, winga mpya wa Yanga anajipa moyo kuwa, mradi ametua Jangwani, yupo tayari kukabiliana na ushindani wowote wa namba.

Chipukizi huyo aliyesajiliwa mwishoni mwa mwaka jana, anasema anajua mwanzo utakuwa mgumu kwake, lakini kwa vile anajiamini na soka analiweza, atakula sahani moja na wakali hao wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dida, Jaja, wabeba jukumu zito Yanga

Pambano la watani wa jadi, Yanga na Simba kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam litakuwa mtihani mkubwa kwa nyota watatu wa Yanga kwa sababu tofauti.

 

10 years ago

Vijimambo

TUZO YA AFRICA YAMNUKIA NGASSA

Mrisho Ngassa Ngassa bado anaongoza kwenye orodha hiyo akiwa amefunga mabao sita katika michuano hiyo sambamba na El Hedi Belameiri wa Es Setif ya Algeria, Haythem Jouini wa Espérance de Tunis ya Tunisia na Ndombe Mubele wa As Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lakini yeye anawazidi MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrisho Ngassa, anatakiwa kusali sala moja pekee ili aweze kuchukua tuzo ya Mfungaji Bora katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya michuano hiyo kufika fainali.

Ngassa bado anaongoza...

 

11 years ago

Mwananchi

Ngassa, Samatta kugombea tuzo moja

Mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngassa pamoja na Mbwana Samatta wa TP Mazembe, wanaumana katika kuwania tuzo za mwanamichezo anayependwa zaidi na watu 

 

10 years ago

Mwananchi

Tuzo ya pili yanukia kwa Msuva leo

Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva leo ana nafasi nyingine ya kuibuka na tuzo nyingine ya Ligi Kuu msimu uliopita, endapo atawabwaga wapinzani wake wawili.

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga wamchanganya Msuva


Straika wa Yanga, Simon Msuva, akiwa na zawadi yake ya mchele aliyopewa na shabiki wa timu yake kutokana na jitihada zake anazofanya uwanjani. 
Msuva ambaye ni kinara wa mabao kwenye safu ya ufungaji bora baada ya kufunga 13, alizawadiwa kilo 30 za mchele wa Mbeya baada ya mechi yao na Mbeya City waliyoshinda 3-1 kumalizika. Zawadi hiyo imetolewa na shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga.MASHABIKI wa soka wanamchanganya mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva lakini mwenyewe akasema kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani