Ngassa, Samatta kugombea tuzo moja
Mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngassa pamoja na Mbwana Samatta wa TP Mazembe, wanaumana katika kuwania tuzo za mwanamichezo anayependwa zaidi na watuÂ
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen11 Nov
Samatta, Ulimwengu, Ngassa out
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-E7laNvNwznQ/VDk6Y-ES6OI/AAAAAAADJWA/SEElTOiX2bM/s72-c/MRISHO%2BNGASSA.jpg)
TUZO YA AFRICA YAMNUKIA NGASSA
![](http://2.bp.blogspot.com/-E7laNvNwznQ/VDk6Y-ES6OI/AAAAAAADJWA/SEElTOiX2bM/s1600/MRISHO%2BNGASSA.jpg)
Ngassa bado anaongoza...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-yTJgUuvZu1o/VSkXdINmVoI/AAAAAAAAHgs/iCFEyfW3Azs/s72-c/11032014_368588460005633_6821834669348042007_n.jpg)
Ngassa, Msuva, Niyonzima wabeba tuzo Yanga SC
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/11150198_368610266670119_6707735268238217996_n.jpg)
KUNDI maarufu la Yanga Facebook Family leo asubuhi katika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam limekabidhi tuzo ya mchezaji bora wa klabu hiyo kwa Mrisho Khalfan Ngassa.Ngassa amechaguliwa mchezaji bora kutokana na mchango wake mkubwa alioonesha mwaka huu klabuni hapo.Pia Haruna Niyonzima amepewa tuzo ya mchezaji bora wa kigeni klabuni hapo wakati Simon Msuva amepewa tuzo ya mfungaji bora wa klabu mwaka msimu huu. Credit: ShaffihDauda number one sports blog.
![](http://1.bp.blogspot.com/-yTJgUuvZu1o/VSkXdINmVoI/AAAAAAAAHgs/iCFEyfW3Azs/s640/11032014_368588460005633_6821834669348042007_n.jpg)
Yanga facebook family wakipiga...
9 years ago
Habarileo07 Jan
Samatta Inshallah tuzo za Afrika
MACHO na masikio ya wadau wa soka nchini leo yataelekezwa Abuja, Nigeria inapofanyika hafla ya kukabidhi tuzo za wanasoka bora wa Afrika kwa mwaka 2015.
9 years ago
Mtanzania06 Jan
TFF kumsindikiza Samatta tuzo za Afrika
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa, anatarajia kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta, kuelekea kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barani Afrika nchini Nigeria.
Samatta ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, anawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani.
Taarifa...
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Samatta, Toure kuwania tuzo ya mwaka Afrika
9 years ago
Habarileo04 Nov
Samatta awania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza soka Afrika.
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Tuzo za Mchezaji Bora Afrika… Samatta Kukwea Pipa Kesho Kwenda Nigeria
Mbwana Samatta
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
Mbwana Samatta
Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya...