Samatta Inshallah tuzo za Afrika
MACHO na masikio ya wadau wa soka nchini leo yataelekezwa Abuja, Nigeria inapofanyika hafla ya kukabidhi tuzo za wanasoka bora wa Afrika kwa mwaka 2015.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania06 Jan
TFF kumsindikiza Samatta tuzo za Afrika
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa, anatarajia kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta, kuelekea kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barani Afrika nchini Nigeria.
Samatta ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, anawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani.
Taarifa...
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Samatta, Toure kuwania tuzo ya mwaka Afrika
9 years ago
Habarileo04 Nov
Samatta awania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza soka Afrika.
9 years ago
Bongo503 Nov
Samatta aingia kwenye Top 10 ya wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika (Based in Africa) 2015
![sam](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/sam-300x194.jpg)
Mchezaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika.
Samatta ambaye pia anaichezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, anawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (African Player of the Year (Based in Africa) 2015.
Mshindi wa tuzo hiyo ataamuliwa kwa kura zitakazopigwa na makocha pamoja na wakurugenzi wa ufundi wa nchi wanachama wa shikirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF).
Tuzo hiyo...
9 years ago
Bongo512 Oct
Mbwana Samatta ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika, ni wachezaji wanaocheza soka la ndani
9 years ago
Michuzi05 Jan
Mwesigwa Selestine kuongozana na Mbwana Samatta katika sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
![](http://tff.or.tz/images/Samatta.png)
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta (pichani) kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya sherehe hizo Katibu...
11 years ago
Mwananchi22 May
Ngassa, Samatta kugombea tuzo moja
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Ni Samatta Afrika nzima