Samatta, Toure kuwania tuzo ya mwaka Afrika
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na TP Mazembe, Mbwana Samatta ametajwa katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Afrika inayotolewana Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo515 Dec
Yaya Toure atajwa tena kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika
![151211161158_yaya_toure_624x351_bbc_nocredit](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/151211161158_yaya_toure_624x351_bbc_nocredit-300x194.jpg)
Yaya Toure, ametajwa tena miongoni mwa wachezaji watatu bora kuwania taji la mwana soka bora mwaka huu na shirikisho la soka barani Afrika (CAF).
Tuzo hii huwajumuisha wachezaji wa Afrika wanaocheza soka ng’ambo.
Andre ‘Dede’ Ayew kutoka Ghana
Nyota huyo wa Manchester City kwa mara nyengine atakuwa akipigania taji hilo dhidi ya mshambulizi wa Black Stars ya Ghana na Swansea Andre ‘Dede’ Ayew na Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon na Borussia Dortmund.
Pierre Emerick Aubameyang kutoka...
9 years ago
Bongo512 Oct
Mbwana Samatta ateuliwa kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika, ni wachezaji wanaocheza soka la ndani
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
9 years ago
Habarileo07 Jan
Samatta Inshallah tuzo za Afrika
MACHO na masikio ya wadau wa soka nchini leo yataelekezwa Abuja, Nigeria inapofanyika hafla ya kukabidhi tuzo za wanasoka bora wa Afrika kwa mwaka 2015.
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Toure ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika
9 years ago
Mtanzania06 Jan
TFF kumsindikiza Samatta tuzo za Afrika
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Selestine Mwesigwa, anatarajia kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta, kuelekea kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barani Afrika nchini Nigeria.
Samatta ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambao ni mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, anawania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani.
Taarifa...
9 years ago
Habarileo04 Nov
Samatta awania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza soka Afrika.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tSrSfWaiSURvBEg4PnuDUhB0-f1dvcJK1pGG*6ZrBUz0Hb4p2a3wcXaeyT-BXkISHnGsZpL-q-7QmVGdAZ*NtYY/yayatoure.jpg?width=650)
YAYA TOURE ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA AFRIKA MARA 4 MFULULIZO
9 years ago
BBCSwahili14 Nov
Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika 2015