Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUZO YA AFRICA YAMNUKIA NGASSA

Mrisho Ngassa Ngassa bado anaongoza kwenye orodha hiyo akiwa amefunga mabao sita katika michuano hiyo sambamba na El Hedi Belameiri wa Es Setif ya Algeria, Haythem Jouini wa Espérance de Tunis ya Tunisia na Ndombe Mubele wa As Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo lakini yeye anawazidi MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrisho Ngassa, anatakiwa kusali sala moja pekee ili aweze kuchukua tuzo ya Mfungaji Bora katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya michuano hiyo kufika fainali.

Ngassa bado anaongoza...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ngassa, Samatta kugombea tuzo moja

Mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngassa pamoja na Mbwana Samatta wa TP Mazembe, wanaumana katika kuwania tuzo za mwanamichezo anayependwa zaidi na watu 

 

10 years ago

Vijimambo

Ngassa, Msuva, Niyonzima wabeba tuzo Yanga SC


KUNDI maarufu la Yanga Facebook Family leo asubuhi katika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam limekabidhi tuzo ya mchezaji bora wa klabu hiyo kwa Mrisho Khalfan Ngassa.Ngassa amechaguliwa mchezaji bora kutokana na mchango wake mkubwa alioonesha mwaka huu klabuni hapo.Pia Haruna Niyonzima amepewa tuzo ya mchezaji bora wa kigeni klabuni hapo wakati Simon Msuva amepewa tuzo ya mfungaji bora wa klabu mwaka msimu huu. Credit: ShaffihDauda number one sports blog.
Yanga facebook family wakipiga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Youth for Africa (YOA) yatambulisha tuzo za Under 30

1

Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Youth For Africa (YOA) Harisson Anthony Mbugi akihojiwa na mwandishi wa habari mudamfupi baada  ya kutambulisha rasmi tuzo za vijana chini ya miaka 30 na upendekezaji wa vijana hao, iliyofanyika Idara Maelezo jijini Dar es Salaam Oktoba 23.

Youth For Africa (YOA), Shirika la kitaifa  linaloongozwa na vijana  ambalo makao yake  yapo Dar es Salaam linapenda kuwataarifu wanahabari  na umma  kuhusu  tuzo za vijana chini ya miaka 30 kwa mwaka 2014 ( Under-30 youth...

 

10 years ago

GPL

YOUTH FOR AFRICA (YOA) KUJA NA TUZO ZA UNDER 30 DAR

Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Youth For Africa (YOA) Harisson Mbugi akizungumza na wanahabari. (Hawapo pichani) Sehemu ya taarifa kwa umma. SHIRIKA la  YOUTH FOR AFRICA (Yoa) limejipanga katika kuleta mapinduzi kwa kuanzisha tuzo za vijana chini ya miaka 30, kwa kushirikisha nyanja mbalimbali ikiwemo kilimo, uvumbuzi,…

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ashinda tuzo nyingine Nigeria ‘The Future Awards Africa’

Diamond Platnumz ameongeza idadi ya tuzo za kimataifa alizopata mwaka huu 2014 baada ya kushinda tuzo nyingine ya ‘The Future Awards Africa’ (TFAA) zilizotolewa huko Lagos, Nigeria Dec.7 Kupitia Instagram mwimbaji huyo wa single mpya ‘Ntampata wapi’ ameshare picha ya tuzo na kuandika: “Thanks God, we have Cheated another one on The Future Awards Africa […]

 

10 years ago

Michuzi

YOUTH FOR AFRICA (YOA) YATAMBULISHA TUZO ZA VIJANA CHINI MIAKA 30

Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Youth For Africa (YOA) Harisson Anthony Mbugi ( wa pili kulia) akiongea na wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutambulisha rasmi tuzo za vijana chini ya miaka 30. Kushoto kwake ni Meneja mauzo na masoko wa Push Mobile, Ezekiel Mukundi akifuatiwa na Ofisa YOA, Abdul Lukanza. Utambulisho uliofanyika Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam Oktoba 2-2014.
Youth For Africa (YOA), Shirika la kitaifa linaloongozwa na vijana ambalo makao yake yapo...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Dewji Blog

JK apokea tuzo nyingine ya Uongozi na Utawala bora ya ‘Africa Achievers Award’

10412002_789494981096465_7678104604296404163_n

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Septemba 10, 2015 amepokea tuzo nyingine ya kimataifa, siku mbili tu baada ya kupokea tuzo ya kutambua mchango wake katika kudumisha amani na utulivu katika Tanzania.

Rais amekabidhiwa tuzo hiyo ya Uongozi na Utawala Bora na Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa AshaRose Migiro ambaye aliipokea kwa niaba ya Rais Kikwete katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani