Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tuzo za Mchezaji Bora Afrika… Samatta Kukwea Pipa Kesho Kwenda Nigeria


SamataBwana580211.jpgMbwana Samatta

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.

samattanMbwana Samatta

Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF

Samatta anayechezea TP Mazembe ametajwa miongoni mwa wachezaji 24 watakaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika anayechezea soka barani.

 

10 years ago

GPL

USHAWAHI KUKWEA PIPA?

Kupanda ndege siyo mchezo ndugu yangu, kwanza ukianza kufikiria katika ukoo wenu watu wangapi wamepanda, ni wachache unaweza hata kuwataja kwa majina na tarehe walizopanda. Kuna wimbo wa kikwetu unamsifu jamaa mmoja toka kijijini kwetu aliyewahi kusafiri na ndege na kutua salama, na hii ni moja ya sifa ambazo  ndugu wa ukoo wa jamaa yule huzitaja kama moja ya mafanikio makuu katika ukoo wao kila wanapokuwa wamelewa. Kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Samatta mchezaji bora TP Mazembe

Mbwana Samatta ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2013 wa klabu ya Tout Puissant Mazembe.

 

10 years ago

Michuzi

YAMOTO BAND KUKWEA PIPA TAREHE 17 KUELEKEA UK

Mkurugezi wa Kundi hilo Mkubwa Fella kwanza alianza kwa kutoa shukran zake kwa Mwenyezi Mungu, Mashabiki, Wadu na vyombo vyote vya habari kwa kuweza kutoa sapoti kwa vijana hao tangu walipo toa Kazi yao ya kwanza kabisa mpaka kufikia Leo wamepata mualiko mkubwa kabisa wa kwenda kufanya show UK.Kwa upande wa Msemaji mkuu na Kiongozi wa Band Aslay Isihaka amesema kuwa wanafuraha sana kwa kupata mualiko huo lakini pia wanashukuru kwa mungu, mashabiki na wale wote wanaonyesha sapoti katika...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU KESHO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo kesho kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika Jiji la Lagos nchini Nigeria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Tuzo ya mchezaji bora Afrika.

Mbwana Samatta leo hii anatarajia kuwasili nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika

 

10 years ago

BBCSwahili

Tuzo la BBC la mchezaji bora Afrika

Siku chache kabla ya kutajwa majina ya wachezaji watakaowania tuzo la BBC la Mchezaji bora Afrika katika kandanda BBC inawataja wachezaji wanaoibuka

 

9 years ago

Habarileo

Samatta awania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mbwana Samatta ni miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka kwa wachezaji wanaocheza soka Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika 2014

Tuzo ya BBC ya mchezaji bora wa Afrika mwaka wa 2014 imetangazwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani