Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YAMOTO BAND KUKWEA PIPA TAREHE 17 KUELEKEA UK

Mkurugezi wa Kundi hilo Mkubwa Fella kwanza alianza kwa kutoa shukran zake kwa Mwenyezi Mungu, Mashabiki, Wadu na vyombo vyote vya habari kwa kuweza kutoa sapoti kwa vijana hao tangu walipo toa Kazi yao ya kwanza kabisa mpaka kufikia Leo wamepata mualiko mkubwa kabisa wa kwenda kufanya show UK.Kwa upande wa Msemaji mkuu na Kiongozi wa Band Aslay Isihaka amesema kuwa wanafuraha sana kwa kupata mualiko huo lakini pia wanashukuru kwa mungu, mashabiki na wale wote wanaonyesha sapoti katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

USHAWAHI KUKWEA PIPA?

Kupanda ndege siyo mchezo ndugu yangu, kwanza ukianza kufikiria katika ukoo wenu watu wangapi wamepanda, ni wachache unaweza hata kuwataja kwa majina na tarehe walizopanda. Kuna wimbo wa kikwetu unamsifu jamaa mmoja toka kijijini kwetu aliyewahi kusafiri na ndege na kutua salama, na hii ni moja ya sifa ambazo  ndugu wa ukoo wa jamaa yule huzitaja kama moja ya mafanikio makuu katika ukoo wao kila wanapokuwa wamelewa. Kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wakiondoka kuelekea SA kufanya Video na Godfather

 Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella  kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi HARAKATI ZA BONGO 

 

9 years ago

Global Publishers

Tuzo za Mchezaji Bora Afrika… Samatta Kukwea Pipa Kesho Kwenda Nigeria


SamataBwana580211.jpgMbwana Samatta

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.

samattanMbwana Samatta

Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya...

 

10 years ago

Vijimambo

YAMOTO BAND WATEMBELEA ZURII HOUSE OF BEAUTY NA KUKABIDHIWA TICKET ZAO TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA LONDON

 Kutoka kushoto Enock, Maromboso, Beka na Aslay wakiwa wameshikilia ticket zao za ndege  ambazo walikabidhiwa rasmi na mkurugenzi wa Zurii house of Beauty Jestina George Meru.Yamoto Band wanatarijiwa kufanya Live show kwenye jiji London siku ya tarehe 21.02.2015 katika ukumbi wa Royal Regency Banguet Hall 
 Zuri House of Beauty CEO Jestina George Meru akiwa kwenye picha ya pamoja na timu nzima ya Yamoto Band Kama kawaida Ukitembelea Zurii House of Beauty huondoki mkono mtupuUK na Europe yote...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YA KIMATAIFA YAPANDA PIPA KUELEKEA TUNISIA




Viungo wa Yanga Andrey Coutinho (kushoto) na Nizar Khalfan nao walikuwa sehem ya wachezaji waliosafiri kuelekea TunisiKocha mkuu wa timu hiyo Hans van der Pluijm amesema, hawana cha kupoteza kwenye mchezo huo hivyo wanahitaji kuibuka na ushindi ili kusonga mbele kwenye michuano hiyo ya pili kwa ukubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika.
“Hatuna cha kupoteza kwenye mchezo huo, tulitoka sare ya kufungana goli 1-1 tukiwa nyumbani hivyo tunahitaji kupata ushindi au sare ya magoli kuanzia mawili...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!

DSC_0437

Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.

DSC_0429

Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.

DSC_0424

Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.

DSC_0427

Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.

DSC_0434

 Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...

 

10 years ago

Dewji Blog

SautiSol, Yamoto Band, Skylight Band na wengine kibao kupamba BEAUTY & MUSIC NIGHT kesho Escape One

#LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho!

IMG-20140829-WA0001

Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo

IMG-20140829-WA0002

IMG-20140829-WA0000

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wa Mpira wa mezani (Heineken Foosball) wakwea pipa kuelekea Ibiza

Washindi wa mpira wa mezani (Heineken Foosball ) Eric Ducan Lissa (Wa kwanza kushoto) na Ntoli Mwaikombo (wapili kulia) wakiwa na mizigo yao kabla kukaguliwa uwanjani JNIA tayari kwa safari ya Ibiza, hispania kuangalia live screen ya fainali za kombe la mabingwa ulaya kwenye sehemu maalum iliyotengwa na Heineken kwa ajili ya watu maalum. Wamesindikizwa na mliki wa bar ya Didi’s Bwana Hillary Mremi (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Heineken Tanzania Amon Theonest. Eric alitabiri ushindi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yakwea pipa kutumbuiza Oman, yawaomba radhi mashabiki wake Dar

10494817_372473116244006_3617867818539775125_n

Uongozi wa Skylight Band unawaomba radhi mashabiki wake wa Dar es Salaam kwa kutokuwepo nchini kwa ajili ya kutoa burudani jioni ya leo kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village Masaki pamoja na siku ya Jumapili kwenye Skylight Sunday Bonanza katika kiota cha maraha Escape One kutokana na kupata mwaliko wa kutumbuiza nchini Oman.

Skylight Band watarejea nyumbani wiki ijayo na kuendelea na ratiba zao kama kawaida ambapo siku ya Ijumaa  tarehe 10/10/2014  watakuwepo Thai Village pamoja na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani