YAMOTO BAND WATEMBELEA ZURII HOUSE OF BEAUTY NA KUKABIDHIWA TICKET ZAO TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA LONDON
![](http://2.bp.blogspot.com/-eMFQ2p1Xm5A/VNgd1TievOI/AAAAAAAC_YM/ByfRWP8CdYA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-02-09%2Bat%2B02.36.13.png)
Kutoka kushoto Enock, Maromboso, Beka na Aslay wakiwa wameshikilia ticket zao za ndege ambazo walikabidhiwa rasmi na mkurugenzi wa Zurii house of Beauty Jestina George Meru.
Yamoto Band wanatarijiwa kufanya Live show kwenye jiji London siku ya tarehe 21.02.2015 katika ukumbi wa Royal Regency Banguet Hall
Zuri House of Beauty CEO Jestina George Meru akiwa kwenye picha ya pamoja na timu nzima ya Yamoto Band
Kama kawaida Ukitembelea Zurii House of Beauty huondoki mkono mtupu
UK na Europe yote...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboZuRii House Of Beauty Kufunguliwa Rasmi 12 Januari 2015
Duka lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4.
Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku.
Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri ya nywele na mwili kwaajili ya watoto, Queen Elisabeth (Jumla na Reja Reja), Make Ups, Perfumes yaani cosmetics na urembo wa kila aina. Vitu vyao ni 100% original na vyote vinatokea UK na...
10 years ago
Michuzi10 Jan
KARIBU ZuRii House of Beauty Dar Free Market complex 1st Floor Shop No F4.
Karibu ZuRii House of Beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi litakalo funguliwa rasmi Jumatatu 12 Jan 2015. Duka lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4.
Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku.Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri ya nywele na mwili kwaajili ya watoto, Queen Elisabeth (Jumla na Reja Reja), Make Ups, Perfumes yaani cosmetics na urembo wa kila aina. Vitu vyao ni 100% original na vyote vinatokea UK...
10 years ago
Dewji Blog11 Jan
Karibu ZuRii House of beauty duka jipya na la kisasa la vipodozi @Dar Free Market
![Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/untitled2.jpg)
Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi
![Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/untitled4.jpg)
Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi
Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi.
![Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/untitled.jpg)
Karibu ZuRii House of Beauty Duka Jipya na la Kisasa la Vipodozi
*Kufunguliwa rasmi Januari 12, 2015
DUKA lipo Dar Free Market 1st Floor Shop No F4. Wako wazi kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa nne usiku.
Hapo utapata kila kitu kuanzia Lotions, Dawa Za Nywele za watoto na watu wazima, Mafuta mazuri...
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.
Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.
Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.
Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.
Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
SautiSol, Yamoto Band, Skylight Band na wengine kibao kupamba BEAUTY & MUSIC NIGHT kesho Escape One
#LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho!
Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/YAMOTO-BAND-1.jpg)
YAMOTO BAND WATINGA GLOBAL, TAYARI KWA MADOIDO NIGHT
10 years ago
MichuziDUKA LA ZURII HOUSE OF BEAUTY LAFUNGULIWA RASMI NDANI YA DAR FREE MARKET JIJINI DAR
10 years ago
MichuziYAMOTO BAND LIVE KWA MARA YA KWANZA KWENYE JIJI LA LONDON
Live with Full Band & Dancers...This is one show that's not to be Missed... Sponsored by @officialjestinageorgeblog @bongodeejays@zuriihouseofbeauty
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-aYUvZ66d2vM/Vkz5qf0VgOI/AAAAAAAIGpw/NARMz-XoKcU/s72-c/12093455_1492757947719818_2027782089_n.jpg)
Miss Tanzania, Liliani Kamazima kukabidhiwa bendera ya taifa tayari kwa safari ya Miss World
![](http://2.bp.blogspot.com/-aYUvZ66d2vM/Vkz5qf0VgOI/AAAAAAAIGpw/NARMz-XoKcU/s320/12093455_1492757947719818_2027782089_n.jpg)
Mrembo huyo ataondoka nchini Ijumaa ya tarehe 20 Novemba 2015 na ataungana na warembo wengine kutoka nchi zaidi ya 120 duniani na watapiga kambi ya mwezi...