Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USHAWAHI KUKWEA PIPA?

Kupanda ndege siyo mchezo ndugu yangu, kwanza ukianza kufikiria katika ukoo wenu watu wangapi wamepanda, ni wachache unaweza hata kuwataja kwa majina na tarehe walizopanda. Kuna wimbo wa kikwetu unamsifu jamaa mmoja toka kijijini kwetu aliyewahi kusafiri na ndege na kutua salama, na hii ni moja ya sifa ambazo  ndugu wa ukoo wa jamaa yule huzitaja kama moja ya mafanikio makuu katika ukoo wao kila wanapokuwa wamelewa. Kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

YAMOTO BAND KUKWEA PIPA TAREHE 17 KUELEKEA UK

Mkurugezi wa Kundi hilo Mkubwa Fella kwanza alianza kwa kutoa shukran zake kwa Mwenyezi Mungu, Mashabiki, Wadu na vyombo vyote vya habari kwa kuweza kutoa sapoti kwa vijana hao tangu walipo toa Kazi yao ya kwanza kabisa mpaka kufikia Leo wamepata mualiko mkubwa kabisa wa kwenda kufanya show UK.Kwa upande wa Msemaji mkuu na Kiongozi wa Band Aslay Isihaka amesema kuwa wanafuraha sana kwa kupata mualiko huo lakini pia wanashukuru kwa mungu, mashabiki na wale wote wanaonyesha sapoti katika...

 

9 years ago

Global Publishers

Tuzo za Mchezaji Bora Afrika… Samatta Kukwea Pipa Kesho Kwenda Nigeria


SamataBwana580211.jpgMbwana Samatta

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.

samattanMbwana Samatta

Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya...

 

10 years ago

GPL

USHAWAHI MUONA PANYA PEDESHEE?

Panya ni wanyama wadogo lakini wana mambo ya ajabu sana. Usiwaone hivyo, nimewachunguza na kukuta wamejipanga vizuri sana kutukosesha raha binadamu. Wako kila mahali wakiwa wamejipanga  kisayansi, wakiwa na mikakati ya muda mfupi na mrefu kukabiliana na changamoto mbalimbali. Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa kwanza kuna kundi kubwa la panya wa uraiani, hawa ndiyo wale panya waliomo majumbani mwetu sisi raia wa kawaida, hawa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je ushawahi kulala chini ya bahari?

Hoteli ya kwanza chini ya maji barani Afrika imefunguliwa kisiwani Pemba nchini Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam kukwea kilele cha ligi Tanzania?

Ligi ya kuu ya Tanzania itaendelea tena leo kwa Azam FC kuwakaribisha Mtibwa Sugar mchezo utakaopigwa katika Azam Complex

 

9 years ago

Vijimambo

Simba yakwea pipa 'kukwepa ndumba'

Kikosi cha Simba kinatarajia kutua Tanga leo kwa usafiri wa ndege kwa ajili ya mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya African Sports, huku uvumi wa imani za kishirikina ukikizunguka.

Simba itawavaa African Sports kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jumamosi, ikitokea moja kwa moja Unguja, Zanzibar ilikokuwa imeweka kambi.

Hata hivyo, habari zilizopatikana kutoka ndani ya klabu hiyo zimeeleza kuwa, maamuzi ya kuisafirisha timu hiyo kwa kutumia usafiri wa anga, ni kwa lengo la...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkazi wa Sinza Kwea Pipa na TBC

Promosheni ya Kwea Pipa na televisheni ya Taifa ya TBC  kwa kushirikiana na kampuni ya Push Mobile Media Limited

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA YA KIMATAIFA YAPANDA PIPA KUELEKEA TUNISIA




Viungo wa Yanga Andrey Coutinho (kushoto) na Nizar Khalfan nao walikuwa sehem ya wachezaji waliosafiri kuelekea TunisiKocha mkuu wa timu hiyo Hans van der Pluijm amesema, hawana cha kupoteza kwenye mchezo huo hivyo wanahitaji kuibuka na ushindi ili kusonga mbele kwenye michuano hiyo ya pili kwa ukubwa kwa ngazi ya vilabu barani Afrika.
“Hatuna cha kupoteza kwenye mchezo huo, tulitoka sare ya kufungana goli 1-1 tukiwa nyumbani hivyo tunahitaji kupata ushindi au sare ya magoli kuanzia mawili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani