USHAWAHI MUONA PANYA PEDESHEE?
![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBuCiZNfmpZwNenzeMTvx18tlRo1ScYIZxEc-j1ImR05OuhsC8*ORyWdVBph2OjnbqLSeBqY6VX8WxxZB*CEsmsa/CHEKANAKITIME.jpg)
Panya ni wanyama wadogo lakini wana mambo ya ajabu sana. Usiwaone hivyo, nimewachunguza na kukuta wamejipanga vizuri sana kutukosesha raha binadamu. Wako kila mahali wakiwa wamejipanga kisayansi, wakiwa na mikakati ya muda mfupi na mrefu kukabiliana na changamoto mbalimbali. Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa kwanza kuna kundi kubwa la panya wa uraiani, hawa ndiyo wale panya waliomo majumbani mwetu sisi raia wa kawaida, hawa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/h2SvCI1KJvM-JBFChJX4FDCuZb484fiC31zxYbMViQF1W1jwO-LKoz70rhKnEXjgLwEYE6BY81lD9FnBz0gHdFHOSUC3xsm5/CHEKANAKITIME.jpg)
USHAWAHI KUKWEA PIPA?
10 years ago
BBCSwahili02 Dec
Je ushawahi kulala chini ya bahari?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7knxRUxE-FoVJf90L6Kpa5VAPvKhE5KlrxEqTY8j5KbqORKBNkZ5WohQu4MaqlgCrLK5Kb0Bq*z5ie2RlWyjG5P/ODAMA.jpg)
ODAMA AMKANA PEDESHEE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVXr9Bndaa6DPCxytc16rhLGl4ESvSiCOfSUJtIC9HcgVx*PjHNcU3gGo53736E6nJ57lP2w*tLZWRA6NiPNCCCG/nisha.jpg?width=650)
NISHA: SIJAWAHI KUCHUKULIWA NA PEDESHEE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu2M9ovpHtgJ-8mJvCgZ3qFYeEHshkvvHjFhKgWbXztL4EdyA3x8Ldk2tOvj-vN*xP6rgrY3H1vjTt0KGyhPeWjE/wolper.jpg?width=650)
WOLPER AMLIPUA PEDESHEE MAARUFU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP4Bj2qwD4O3yH51Z9eqKDvCb5aFzr8xPmzMlHcHZ8BYCYuhi8pyhFM1PiQ*5eeXyFpGmUYdJu5AI9NVRKDJjBmn/Mtoto.jpg)
ZARI, PEDESHEE KATUNZI LAIVU!
11 years ago
Mwananchi18 May
Pesa za pedeshee zawapagawisha waumini
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Pedeshee aapa kuvunja uchumba wa dida
Khadija Shaibu ‘Dida’.
Imelda Mtema
Pedeshee maarufu jijini Dar anadaiwa kuapa kuvunja uchumba wa Mtangazaji wa Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ mara tu baada ya kutangaza kuvalishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mwanaume ambaye hakutaka kumuanika.
Habari kutoka kwa chanzo chetu makini zilieleza kwamba, pedeshee huyo amekuwa akimpa Dida vitisho kuwa mwanaume ambaye atamuoa hatakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yake hivyo anaamini yeye ndiye anayeweza kumpa chochote anachotaka na si...