Je ushawahi kulala chini ya bahari?
Hoteli ya kwanza chini ya maji barani Afrika imefunguliwa kisiwani Pemba nchini Tanzania.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Hoteli iliyo chini ya bahari Pemba
Katika kukabiliana na mapato finyu,serikali ya Zanzibar imekuwa ikitilia umuhimu sekta ya utalii ambapo huko Pemba pamejengwa hoteli chini ya bahari
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Je kuna nini kilomita 5 chini ya bahari ?
Wanasayansi wa Uingereza wanapanga kuchimba takriban kilomita 5 chini ya bahari Hindi ilikubaini kunani chini ya sakafu
10 years ago
Vijimambo
MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA WILAYA YA LINDI KUTOKUBALI KUUZA MAENEO YA UFUKWE WA BAHARI KWA BEI YA CHINI

10 years ago
GPL
USHAWAHI KUKWEA PIPA?
Kupanda ndege siyo mchezo ndugu yangu, kwanza ukianza kufikiria katika ukoo wenu watu wangapi wamepanda, ni wachache unaweza hata kuwataja kwa majina na tarehe walizopanda. Kuna wimbo wa kikwetu unamsifu jamaa mmoja toka kijijini kwetu aliyewahi kusafiri na ndege na kutua salama, na hii ni moja ya sifa ambazo ndugu wa ukoo wa jamaa yule huzitaja kama moja ya mafanikio makuu katika ukoo wao kila wanapokuwa wamelewa. Kwa...
10 years ago
GPL
USHAWAHI MUONA PANYA PEDESHEE?
Panya ni wanyama wadogo lakini wana mambo ya ajabu sana. Usiwaone hivyo, nimewachunguza na kukuta wamejipanga vizuri sana kutukosesha raha binadamu. Wako kila mahali wakiwa wamejipanga kisayansi, wakiwa na mikakati ya muda mfupi na mrefu kukabiliana na changamoto mbalimbali. Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa kwanza kuna kundi kubwa la panya wa uraiani, hawa ndiyo wale panya waliomo majumbani mwetu sisi raia wa kawaida, hawa...
11 years ago
Bongo515 Jul
Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’
Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Dar Es Salaam. Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima Akizungumza na bongo5 leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama za show zake kutokana […]
10 years ago
MichuziNCCR-MAGEUZI KWAFUKUTA CHINI KWA CHINI
NaChalila Kibuda,Globu ya Jamii CHAMA cha NCCR-MAGEUZI kimesema mkutano uliofanyika jana katika hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho hawajajua lengo lake kutokana na kutokwepo kwa baraka ya vikao kwa mujibu wa chama hicho.
Akizungumza leo na waandishi habari jana Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chama hicho, Mohamed Tibanyendela amesema kuwa mkutano huo hujafanyika kwa kufuata taratibu hivyo wanaamini kuwa walikuwa...
Akizungumza leo na waandishi habari jana Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chama hicho, Mohamed Tibanyendela amesema kuwa mkutano huo hujafanyika kwa kufuata taratibu hivyo wanaamini kuwa walikuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania