Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’

Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Dar Es Salaam. Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima Akizungumza na bongo5 leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama za show zake kutokana […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kathy Sullivan: Mwanaanga wa kwanza kufika kina cha chini kabisa baharini

Aliyekuwa mwanaanga wa Nasa Dr Kathy Sullivan amekuwa mwanamke wa kwanza kufika anga la mbali na kina cha chini kabisa baharini.

 

11 years ago

BBCSwahili

Israel itaharibu njia za chini kwa chini

Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema kuwa Isareli haina budi ila kuharibu uwezo wa Hamas kivita

 

9 years ago

Michuzi

NCCR-MAGEUZI KWAFUKUTA CHINI KWA CHINI

 NaChalila Kibuda,Globu ya Jamii CHAMA cha NCCR-MAGEUZI kimesema mkutano uliofanyika jana katika hoteli ya Land Mark  jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho hawajajua lengo lake kutokana na kutokwepo kwa baraka ya vikao kwa mujibu wa chama hicho.
Akizungumza leo  na waandishi habari jana Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Chama hicho, Mohamed Tibanyendela amesema kuwa mkutano huo hujafanyika kwa kufuata taratibu hivyo wanaamini kuwa walikuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

UNAWEZA KUMTUMIA UJUMBE RAIS JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI KWENYE NAMBA YAKE HAPO CHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Profesa Jakaya Kikwete ametoa namba yake maalum kwa wananchi waweze kumtumia ujumbe wa SMS kumjulia hali na kumpa pole, Mhe. Rais atapokea ujumbe wako na kuujibu.

 

10 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego atenga milioni 60 kukamilisha kolabo na msanii wa Nigeria

Rapper Nay wa Mitego amesema kuwa ametenga bajeti ya shilingi milioni 60 kukamilisha kolabo na msanii wa Nigeria. Nay ameiambia Bongo5 kuwa gharama hiyo inajumuisha gharama ya video ambayo amedai atafanya na Godfather wa Afrika Kusini. “Kolabo sio rahisi kama watu wanavyodhani,” amesema Nay. “Inatakiwa uwe na pesa za kutosha na ujiandae vizuri ndo maana […]

 

10 years ago

Bongo5

Video mbili za ‘Akadumba’ zimemkamua shilingi milioni 36 Nay wa Mitego

Nay wa Mitego amekata mpunga mrefu kushoot video mbili tofauti za ngoma yake ‘Akadumba’ Nay ameiambia Bongo5 kuwa, shilingi milioni 36 zimetumika kukamilisha mzigo huo. “Kiukweli kabisa imenigharimu pesa nyingi sana ambayo sikufikiria kama inaweza ikanigharimu kiasi hicho,” amesema Nay. “Nilikuwa natafuta kitu kizuri na kuwaonyesha watu nini kinatufanya tutoke nje. Kwahiyo video moja nimefanyia […]

 

10 years ago

Vijimambo

EMMANUEL ADEBAYOR AWATOLEA UVIVU NDUGU ZAKE, AWATUMA UJUMBE MZITO KUPITIA FACEBOOK JITIRIRIKIE HAPO CHINI

STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Emmanuel Adebayor amewatolea uvivu ndugu zake ambao wamekuwa wakimwandama kwamba hawapi msada wowote mbali na utajiri mkubwa alionao.

Adebayor ameamua kuandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akikana tuhuma ambazo amekuwa akitupiwa na ndugu zake huku akiweka wazi mambo yote mazuri aliyoitendea familia yake.

Staa huyo pia aliwahi kukana tuhuma alizotupiwa na dada yake kwamba alimfukuza mama yaka mzazi kwenye nyumba yake kwa tuhuma za ushirikina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani