Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kathy Sullivan: Mwanaanga wa kwanza kufika kina cha chini kabisa baharini

Aliyekuwa mwanaanga wa Nasa Dr Kathy Sullivan amekuwa mwanamke wa kwanza kufika anga la mbali na kina cha chini kabisa baharini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego adai hafanyi show chini ya milioni 5 , ‘ni rasmi kabisa chini ya hapo sifanyi’

Hit maker wa Muziki Gani, Nay wa Mitego amefunguka kwa kudai kuwa amepandisha gharama za show zake mpaka milioni 5 kwa show za nje ya Dar Es Salaam. Nay wa Mitego akiwa nyumbani kwake na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima Akizungumza na bongo5 leo, Nay , amesema imembidi apandishe gharama za show zake kutokana […]

 

11 years ago

Michuzi

KITABU CHA KWANZA KINACHOELEZA KWA KINA HISTORIA YA KLABU YA SIMBA TANGU 1920 HADI SASA

                                                 Mwina Kaduguda

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA KWANZA YA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA YA SULLIVAN PROVOST YA KIBAHA YAFANA.

Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa  Shule ya Sekondari ya Wavulana ya  Sullivan Provost , wakihudhuria mahafali yao ya kwanza yaliyofanyika shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Mkoani Pwani hivi karibuni.Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost,  Rachel Mwalukasa (kushoto), akizungumza katika sherehe za mahafali ya kwanza ya kidato cha ya shule hiyo shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Pwani hivi karibuni. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Shule, Jacob Mkumbo, Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Jk Rais wa kwanza kufika Kibati


NA LATIFA GANZEL
RAIS Jakaya Kikwete ameweka historia ya kuwa rais wa kwanza kufika katika kata ya Kibati iliyoko Mvomero mkoani hapa.
Pia amekuwa kiongozi wa pili wa juu wa taifa kufika Kibati baada ya awali Mwalimu Julius Nyerere kufanya hivyo mwaka 1961 wakati akiwa Waziri Mkuu wa Tanganyika.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mara baada ya kuwasili Rais Kikwete, Mbunge wa Mvomero (CCM), Amos Makalla, alisema ujio wa Kikwete umekonga nyoyo za wakazi wa kata hiyo.
Makalla alisema kilio...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifimbo cha Malkia kufika Zanzibar

KIFIMBO cha Malkia wa Uingereza (QBR), kinatarajiwa kuwasili nchini kikitokea Kigali, Rwanda kupitia Nairobi, Kenya Januari 18 mwakani, kikitarajiwa pia kukimbizwa visiwani Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu...

 

9 years ago

Bongo5

Nacheka lakini sina furaha ila najua kabisa mpango wao kwangu ni kuniua kabisa nipotee — Ray C

Sio mara ya kwanza kwa Rehema Chalamila a.k.a Ray C kulalamika kuhusu kunyimwa dawa ya Methadone ambayo amekuwa akiitumia ili kumsaidia kuondokana na addiction ya dawa za kulevya, lakini safari hii ametumia ukurasa wake wa Instagram kulalamika kuwa ameonewa tena japo hakuweka wazi alichofanyiwa. Ray C alianza kupost picha akiwa kwenye gari na kuadika; “NIKIWA […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi 66 kidato cha tatu Muungano bado kufika shule

DSC03697

Mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya muungano  kata ya Iseke wilaya Ikungi mkoa wa Singida, Rajabu Ali, akifafanua jambo kwenye mkutano wa wazazi wa shule ya sekondari hiyo uliofanyika kwenye chumba cha darasa katika shule hiyo. Kulia ni mkuu wa shule ya sekondari muungano Mwl. Augustino Mkhotya na kushoto ni mmoja wa walimu wa shule hiyo.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

WANAFUNZI 66 waliopaswa kuanza kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Muungano kata ya Iseke wilaya ya Ikungi mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani