Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAFALI YA KWANZA YA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA YA SULLIVAN PROVOST YA KIBAHA YAFANA.

Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wa  Shule ya Sekondari ya Wavulana ya  Sullivan Provost , wakihudhuria mahafali yao ya kwanza yaliyofanyika shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Mkoani Pwani hivi karibuni.Mkurugenzi Mtendaji wa Shule ya Wavulana ya Sullivan Provost,  Rachel Mwalukasa (kushoto), akizungumza katika sherehe za mahafali ya kwanza ya kidato cha ya shule hiyo shuleni hapo, Kibaha kwa Mathias, Pwani hivi karibuni. Wengine kutoka kulia ni Mkuu wa Shule, Jacob Mkumbo, Mwenyekiti wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHEREHE ZA UZINDUZI WA SHULE YA SULLIVAN PROVOST WAFANA

Mchungaji wa Kanisa la KKKT Usharika wa Mlandizi, Mchungaji Tusimsahau Manoza (wa pili kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Sullivan  Provost, Rachel Mwalukasa (wa tatu kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo mjini Kibaha Pwani juzi. Wengine kutoka kushoto ni Mwinjilisti Andrew Utoah wa Kanisa la KKKT Mtaa wa Kidugalo, Mchungaji Liston Imaniyangulu Kiongozi wa Kiroho katika shule...

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA KWANZA YA KIDATO CHA NNE KENYAMANYORI SEKONDARI MKOANI MARA YAFANA.

Afisa Elimu Sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara George Ogutu akizungumza katika Mahafali ya Kwanza ya Shule ya Sekondari Kenyamanyori iliyopo katika halmashauri hiyo.Ogutu alikuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo ambayo yalifanyika jana Octoba 02,2015 katika Viunga vya Shule hiyo ambayo wakati inaanza kupokea wanafunzi wanaohitimu mwaka huu ilikuwa ni shule ya Kijiji cha Kenyamanyori na ilijengwa kwa nguvu za wakazi wa kijiji hicho ambao asilimia kubwa ni wakulima na...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA NANE YA KIDATO CHA NNE KATIKA SHULE YA SEKONDARI REBU ILIYOPO TARIME YAFANA

Wahitimu wa Kidato cha Nne Rebu Sekondari 2015Wahitimu wa Kidato cha Nne Rebu Sekondari 2015.Mgeni Rasmi katika Mahafali ya nane ya Kidato cha nne katika shule ya Sekondari Rebu iliyopo Wilayani Tarime George Obuto ambae ni Afisa Elimu Sekondari katika Wilaya hiyo akizungumza katika Mahafali hayo.Mgeni Rasmi akikabidhi cheti kwa mhitimuMhitimu akipokea cheti. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SEKONDARI BWAWANI INAYOMILIKIWA NA JESHI LA MAGEREZA YAFANA MKOANI PWANI

Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil akimkabidhi cheti Mwanafunzi Mhitimu kwenye Mahafali ya Kumi na mbili ya Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bwawani Oktoba 16, 2015(kulia kwa Mgeni rasmi) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja.Baadhi ya Wahitimu Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Bwawani inayomilikiwa na Jeshi la Magereza wakipiga makofi wakati wa hotuba ya Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak...

 

11 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA TATU YA SHULE YA SEKONDARI YA KAJUMULO GIRLS HIGH SCHOOL BUKOBA YAFANA, BW. JAMES RUGEMALIRA ATOA MILLIONI 200/-


wahitimu wa kidato cha sita wa shule ya Kajumulo Girls High School wakati wa kusherekea mahafali ya tatu Wanafunzi wa Kajumulo Girls High School wanaohitimu kidato cha 6 wakati wa kusherekea mahafali ya tatu katika shule yao. Prof. Anna Tibaijuka kwa furaha akitoa neno. Kwa niaba ya Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea na Mwana hisa wa “VIP Engineering and Marketing Ltd” Mzee James Rugemalira aliyependa kuwa nasi leo lakini akashindwa kutokana na majukumu mengine, tunayo furaha...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA yatoa elimu Shule ya Sekondari ya Wavulana Mwandege

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa katika matumizi ya mitandao kuacha kuweka vitu binafsi katika mitandao.
Akizungumza wakati wa utoaji elimu ya kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya  Wavulana Mwandege wilayani Mkuranga mkoani Pwani  Afisa Masoko wa Mamlaka hiyo  Dorice Muhimbila amesema kuwa Wanafunzi ni muhimu kuwa elimu hiyo ili wakianza kumiliki simu waweze kutumia mawasiliano hayo salama.
Muhimbila amesema kuwa elimu hiyo wanayoitoa ni...

 

9 years ago

Vijimambo

MAHAFALI YA 14 YA KIDATO CHA NNE MKOLANI SEKONDARI JIJINI MWANZA YAFANA.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Mkolani iliyopo Jijini Mwanza Mwl.Asensio Mathias (Mwenye Kinasa Sauti) akizungumza katika Mahafali ya 14 ya Kidato cha Nne katika shule hiyo yaliyofantika jana Octoba16,2015 katika Ukumbi wa Shule hiyo.Na:George Binagi-GB PazzoMgeni Rasmi katika Mahafali ya 14 ya kidato cha Nne Mkolani Sekondari ya Jijini Mwanza Ndg.Bituro Kazeri (Wa tatu kila upande) ambae ni Afisa Habari wa Taasisi ya Sayansi ya Jamii TASAJA akijiandaa kuwakabidhi vyeti wahitimu wa shule hiyo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya shule ya awali ya Ojays Kiddies Zone yafana

DSC_0401

Watoto wa shule ya Ojays Kiddies Zone iliyopo maeneo ya  Kinondoni Block 41, wakiwa kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kuanza kwa mahafali ya Kaka na Dada zao wa Laura Class kuanzia miaka 4-5 (T-shrits za kijani) yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Regency Park jijini Dar mwishoni mwa juma.

DSC_0406

We are happy to Graduate….! Wanafunzi wa Laura Class wakipata Ukodak.

DSC_0640

Mkurugenzi wa Shule yaawali ya  Ojays Kiddies Zone  iliyopo Kinondoni -Block 41, Bi. Debbie Ndulla akiwakaribisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya pili ya shule ya WAMA Nakayama yafana Nyamisati Rufiji

001

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha  Rose Migiro (katikati ), akikata utepe akizindua zahanati kwa  ajili ya matibabu ya  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana wanaoishi  katika mazingira hatarishi ya WAMA  Nakayama iliyopo katika kijiji cha Nyamisati, wilayani Rufiji mkoani Pwani wakati  mahafali ya pili yaliyofanyika Octoba 27,2014 (kulia), Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, na kushoto ni Kaimu Balozi wa Japan  nchini, Kazuyoshi  Matsu.

002

Wangeni waalikwa wakiimba wimbo wa Taifa kabla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani