Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi 66 kidato cha tatu Muungano bado kufika shule

DSC03697

Mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya muungano  kata ya Iseke wilaya Ikungi mkoa wa Singida, Rajabu Ali, akifafanua jambo kwenye mkutano wa wazazi wa shule ya sekondari hiyo uliofanyika kwenye chumba cha darasa katika shule hiyo. Kulia ni mkuu wa shule ya sekondari muungano Mwl. Augustino Mkhotya na kushoto ni mmoja wa walimu wa shule hiyo.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

WANAFUNZI 66 waliopaswa kuanza kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Muungano kata ya Iseke wilaya ya Ikungi mkoa wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR

 Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw.Raymond Mapunda akitoa matokeo ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari jijini Dar es salaam ambapo katika mtihani huo uliofanyika Mei 25 hadi Juni 12 mwaka huu shule Binafsi zimeongoza kwa ufaulu.
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO  ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za  Sekondari za jiji la Dare es  salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu  za ufaulu kwa wanafunzi...

 

5 years ago

Michuzi

ASILIMIA 90 YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WAREJEA SHULENI, HAKUNA MAAMBUKIZI YA CORONA KWA WANAFUNZI

Naibu Katibu Mkuu Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Gerald Mweli akitoa ripoti ya kurejea shuleni kwa wanafunzi wa kidato cha sita.
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerald Mweli amesema asilimia 90 ya wanafunzi wa kidato cha sita wameripoti shuleni katika halmashauri zote nchini.
Mweli amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kuwapo kwa maambuziki ya ugonjwa wa Corona kwa wanafunzi wa kidato cha sita walioripoti shuleni.
Akitoa tathimini ya uripotiji wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Robo tatu ya waliofaulu wachaguliwa kidato cha V

Robo tatu ya wanafunzi waliofaulu kidato cha nne kwa kupata daraja la kwanza hadi la tatu (Division I – III), wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano.

 

11 years ago

Habarileo

Wahitimu wa kike kidato cha 6 bado wachache

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista MhagamaIDADI ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume na serikali imekuwa ikifanya juhudi za makusudi kukabiliana na changamoto hizo, kupandisha uwiano wa wanafunzi wa kike na kiume vyuoni kwa asilimia 50 kwa 50.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao. Wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10 shuleni hapo.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt....

 

11 years ago

Habarileo

Shule kinara kidato cha 6 taabani

SHULE ya Igowole, iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo ya Kidato cha Sita mwaka huu, inakabiliwa na matatizo mengi, ikiwemo ukosefu wa mabweni, kiasi cha Mkuu wa Shule kulazimika kuhama nyuma kuachia wanafunzi wapate pa kulala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani