NISHA: SIJAWAHI KUCHUKULIWA NA PEDESHEE
SALMA Jabu maarufu kama Nisha, ni mmoja wa waigizaji wanaofanya vizuri katika kiwanda cha filamu Tanzania. Amefanya kazi nyingi zinazomfanya kuwa mmoja wa mastaa wanaoongoza kwa kushiriki katika movie nyingi. Salma Jabu 'Nisha'. Risasi Mchanganyiko lilimtafuta na kufanya naye mahojiano maalum kuhusu mambo mbalimbali yanayohusiana na sanaa yake. Risasi: Mambo vipi Nisha? Nisha: Poa kabisa, niambie Risasi: Unaizungumziaje...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLODAMA AMKANA PEDESHEE
10 years ago
GPLWOLPER AMLIPUA PEDESHEE MAARUFU
11 years ago
Mwananchi18 May
Pesa za pedeshee zawapagawisha waumini
10 years ago
GPLUSHAWAHI MUONA PANYA PEDESHEE?
10 years ago
GPLZARI, PEDESHEE KATUNZI LAIVU!
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Pedeshee aapa kuvunja uchumba wa dida
Khadija Shaibu ‘Dida’.
Imelda Mtema
Pedeshee maarufu jijini Dar anadaiwa kuapa kuvunja uchumba wa Mtangazaji wa Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ mara tu baada ya kutangaza kuvalishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mwanaume ambaye hakutaka kumuanika.
Habari kutoka kwa chanzo chetu makini zilieleza kwamba, pedeshee huyo amekuwa akimpa Dida vitisho kuwa mwanaume ambaye atamuoa hatakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yake hivyo anaamini yeye ndiye anayeweza kumpa chochote anachotaka na si...
10 years ago
GPL12 Mar
9 years ago
GPLAUNT: SIHITAJI PEDESHEE, DANSA WANGU ANATOSHA
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
UBUYU:Baada ya Kupata Pedeshee Mpya, Wolper Kubadili Dini Tena!!
Mrembeo na mwigizaji wa filamu, Jackline Massawe Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa na gazeti moja la udaku kuwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.
Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.
Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya...