WOLPER AMLIPUA PEDESHEE MAARUFU
![](http://api.ning.com:80/files/2VGrzzXedu2M9ovpHtgJ-8mJvCgZ3qFYeEHshkvvHjFhKgWbXztL4EdyA3x8Ldk2tOvj-vN*xP6rgrY3H1vjTt0KGyhPeWjE/wolper.jpg?width=650)
Stori: Erick Evarist MTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Massawe Wolper, amemtolea uvimu pedeshee maarufu, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwami Rajabu na kumwambia aache kumfuatafuata. Mtoto mzuri Bongo Movies, Jacqueline Massawe Wolper. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mkongo huyo ambaye anajitapa kuwa ameshatembea na baadhi ya mastaa Bongo akiwemo Wolper, alikaririwa katika gazeti hilihili akidai ametembea na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
UBUYU:Baada ya Kupata Pedeshee Mpya, Wolper Kubadili Dini Tena!!
Mrembeo na mwigizaji wa filamu, Jackline Massawe Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa na gazeti moja la udaku kuwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.
Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.
Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7knxRUxE-FoVJf90L6Kpa5VAPvKhE5KlrxEqTY8j5KbqORKBNkZ5WohQu4MaqlgCrLK5Kb0Bq*z5ie2RlWyjG5P/ODAMA.jpg)
ODAMA AMKANA PEDESHEE
11 years ago
Mwananchi18 May
Pesa za pedeshee zawapagawisha waumini
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zXzp3DhECP4Bj2qwD4O3yH51Z9eqKDvCb5aFzr8xPmzMlHcHZ8BYCYuhi8pyhFM1PiQ*5eeXyFpGmUYdJu5AI9NVRKDJjBmn/Mtoto.jpg)
ZARI, PEDESHEE KATUNZI LAIVU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pM3ABSV3WVXr9Bndaa6DPCxytc16rhLGl4ESvSiCOfSUJtIC9HcgVx*PjHNcU3gGo53736E6nJ57lP2w*tLZWRA6NiPNCCCG/nisha.jpg?width=650)
NISHA: SIJAWAHI KUCHUKULIWA NA PEDESHEE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBuCiZNfmpZwNenzeMTvx18tlRo1ScYIZxEc-j1ImR05OuhsC8*ORyWdVBph2OjnbqLSeBqY6VX8WxxZB*CEsmsa/CHEKANAKITIME.jpg)
USHAWAHI MUONA PANYA PEDESHEE?
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Pedeshee aapa kuvunja uchumba wa dida
Khadija Shaibu ‘Dida’.
Imelda Mtema
Pedeshee maarufu jijini Dar anadaiwa kuapa kuvunja uchumba wa Mtangazaji wa Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ mara tu baada ya kutangaza kuvalishwa pete ya uchumba hivi karibuni na mwanaume ambaye hakutaka kumuanika.
Habari kutoka kwa chanzo chetu makini zilieleza kwamba, pedeshee huyo amekuwa akimpa Dida vitisho kuwa mwanaume ambaye atamuoa hatakuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji yake hivyo anaamini yeye ndiye anayeweza kumpa chochote anachotaka na si...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uqLqBDFuIfDOKBGTGDdmFG205wpTLYrAIGCtZNIn60*fc39Pwfk9DQLJ79aeQugBbJsGNBvtTL-lOIqUUdD7txc4zbzKniel/timthumb.jpg?width=650)
AUNT: SIHITAJI PEDESHEE, DANSA WANGU ANATOSHA
10 years ago
GPL12 Mar