Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBUYU:Baada ya Kupata Pedeshee Mpya, Wolper Kubadili Dini Tena!!

Mrembeo na mwigizaji wa filamu, Jackline Massawe Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa na gazeti moja la udaku kuwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.

Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.

Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo Movies

SHEHE Amcharukia Jackline Wolper. Ni kutokana na tabia yake ya kubadili badili dini.

TABIA ya staa wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper kubadilibadili dini mara kwa mara imeonekana kuwakera watu mbalimbali akiwemo Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Musa Salum ambaye amemcharukia vikali.

Wolper kiimani ni Mkristo lakini hivi karibuni alibadili na kuwa Muislam kabla ya kurejea tena kwenye imani yake ya awali ya ukristo.

Sababu ya Wolper kubadili dini ilikuwa ni kufunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake Abdallah Mtoro ‘Dalas’, walipoachana akaamua kurudi kwenye...

 

10 years ago

GPL

WOLPER AMLIPUA PEDESHEE MAARUFU

Stori: Erick Evarist
MTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Massawe Wolper, amemtolea uvimu pedeshee maarufu, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwami Rajabu na kumwambia aache kumfuatafuata. Mtoto mzuri Bongo Movies, Jacqueline Massawe Wolper. Mwishoni mwa wiki iliyopita, Mkongo huyo ambaye anajitapa kuwa ameshatembea na baadhi ya mastaa Bongo akiwemo Wolper, alikaririwa katika gazeti hilihili akidai ametembea na...

 

10 years ago

Bongo Movies

UBUYU: Lulu na Jacqueline Wolper Waoneshana Jeuri ya Mabwana!

Warembo na waigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.

Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa, wamebaini  kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.

Inadaiwa kwamba, baada ya Lulu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubuyu Kuhusu Wolper Kumpiga Mizinga Bwana wa Wastara Huu Hapa

Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi.

Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, chanzo chao makini makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kilidokeza  kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na Wolper lakini alimshindwa kutokana na tabia hiyo ya kupiga mizinga.

“Yaani Wolper ni balaa, anampiga sana...

 

10 years ago

GPL

WOLPER ANAONGOZA KWA KUBADILI NAMBA ZA SIMU!

Na Mwandishi Wetu
KUNA nini kwani? Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper anatajwa kuongoza wasanii wenzake kwa kubadili namba za simu za mkononi huku baadhi ya mashoga zake wakijiuliza kulikoni? Staa wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper. Kwa mujibu wa rafiki mmoja wa karibu na Wolper (jina lipo), anamshangaa sana shoga yake huyo kwani amekuwa akibadili namba za simu kwa mwaka mmoja hata mara saba. “Unajua kwa...

 

9 years ago

GPL

ESTA KIAMA KUBADILI DINI!

Msanii wa filamu Bongo, Esta Kiama. MSANII wa filamu Bongo, Esta Kiama amesema kuwa yupo mbioni kubadili dini yake ya Kikristo na kwenda kwenye Uislam kwa kile anachodai kuwa amejisikia tu. Akichezesha taya na Amani, Esta alisema kuwa ameamua kubadilisha dini kwa matakwa yake mwenyewe na siyo kwa kulazimishwa na mtu yeyote. “Muda wowote kuanzia sasa nitabadilisha dini kwa kuwa nimeamua na wala si kwa ajili ya kumfuata...

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFO, KUCHAPWA MIJELEDI 100 KWA KUBADILI DINI SUDAN

MAHAKAMA nchini Sudan imemhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanamume mkristo. Daktari Mariam Yahya Ibrahim Ishag, ambaye babake ni muislamu alishitakiwa kwa kosa la kuasi dini pamoja na kufanya zinaa kwa kuolewa na mwanamume mkristo, kitu ambacho dini ya kiisilamu imeharamisha kwa wanawake. Mariam mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni mjamzito pia atapata adhabu ya mijeledi 100 kwa kosa la zinaa....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jackline Wolper arudia dini yake

MIEZI michache baada ya kuapa kwamba hatobadilisha tena dini kwa kwani kwa kufanya hivyo, ni sawa na kumchezea Mungu, mwigizaji mwenye nyota kali, Jackline Wolper, ameshindwa kusimamia kiapo hicho na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani