Ubuyu Kuhusu Wolper Kumpiga Mizinga Bwana wa Wastara Huu Hapa
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, chanzo chao makini makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kilidokeza kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na Wolper lakini alimshindwa kutokana na tabia hiyo ya kupiga mizinga.
“Yaani Wolper ni balaa, anampiga sana...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLrodH6PkFgsRdTYPPJ6O7agSPYMJNNBTzNqDOj6WQbdZcv2G0cRlbGBVusG7VMaCed64HwrDZH1ER-0V-Ab7EWF/1.jpg?width=650)
WOLPER AMPIGA MIZINGA BWANA WA WASTARA
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Ubuyu: Wastara Amchunguza na Kumpiga Msasa Bond Kabla ya Kumuweka "Ofisho"!!
Baada ya tetesi kuzagaa mitaani kwamba wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim wanatoka kimapenzi, bidada huyo ameibuka na kufunguka kuwa bado hajamkubalia jumla Bondi kwani bado anamchunguza.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini.
“Bondi ninamchunguza kwanza na kumpiga msasa awe wa tofauti na alivyokuwa zamani sijamtangaza rasmi kwa sababu kuna vitu bado sijajiridhisha kwake...
10 years ago
Bongo Movies25 Mar
Baada ya Kusambaa kwa Stori ya Kutoka na Aliekuwa Bwana wa Wolper , Wastara Amesema Haya
Kupitia ukurasa wake wa ‘fesibuku’ Wastara amendika;
“Kalamu ya muandishi imegeuka kuwa fimbo ya wanyonge tofauti na miaka ya nyuma,wanaandishi wanakula mishahara mara mbili wa kituoa anachofanyia kazi na wamtu anaempa habari,hivyo kuandika anachoambiwa sio anachokiona
Pesa inatumika kupotosha ukweli na ukweli ndio uongo waleo,nimeamini maneno yangekuwa sumu ningeshakufa zamani sana lakini kwakua mdomo nyumba ya maneno bado niko hai
Tupendane tushikamane na tuishi kwa usawa usipende kuonea...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QeDzYL4Fy3sDIxlp9yPrkUlaVlF2XN90FFrRl0fpuWdXYZ3brhFx-VowzWs7NQHKFPd8WHA347JFiW1Kq48qouL/wastara.jpg?width=450)
WASTARA ACHEKELEA UBUYU, KULIKONI?
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Baada ya Watu Kuponda, Huu Ndio Msimamo wa Wolper Kuhusu Kipini Chake Puani
“Wapenzi mnaotukana kisa nimevaa kipini kwa pua msipoteze muda hiko akitoki ndo kimeshafika zaidi nitakua tuu na badilisha leo cha njano kesho chekundu, why mnakua wagumu kuelewa kinipendeze kisinipendeze ni mimi so please msinijazie comment za zamatusi nakukosoa kwenye picha zangu kama nyie ndo wavaaji sitaki ushauri sitaki jamani pipo chilaaax me nakipini dam dam... in love with my kipini najikuta jacq khan mwenzenu kila nikijitizama....Am so soleee. Nawapenda sana napenda ushauri...
10 years ago
Bongo Movies27 Feb
UBUYU: Lulu na Jacqueline Wolper Waoneshana Jeuri ya Mabwana!
Warembo na waigizaji wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.
Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa, wamebaini kwamba, kumekuwa na kasumba ya baadhi ya mastaa hao kutambiana kuwa ni nani zaidi anayemiliki bwana mwenye mawe au mshiko kuliko wengine.
Inadaiwa kwamba, baada ya Lulu...
10 years ago
Bongo Movies28 Feb
UBUYU:Baada ya Kupata Pedeshee Mpya, Wolper Kubadili Dini Tena!!
Mrembeo na mwigizaji wa filamu, Jackline Massawe Wolper, kwa mara nyingine ameripotiwa na gazeti moja la udaku kuwa kuangukia kwenye mikono ya pedeshee ambaye ndiye anayempa jeuri ya fedha kwa sasa.
Pedeshee huyo anayedaiwa kumpangishia nyumba ya kisasa mrembo huyo na kumpa jeuri ya kufanya matanuzi hapa mjini, anadaiwa kutaka kumbadili dini staa huyo ili awe muislam kwa mara ya pili.
Licha ya maisha yake kubadilika na kuwa na mkwanja mrefu, Wolper mwenyewe amekuwa akifanya siri juu ya...
10 years ago
Bongo Movies13 Mar
Picha:Ukweli Kuhusu Wema na Ommy Huu Hapa!
Hatimaye imekuwa dhahili kuwa mwanamziki Ommy Dimpoz ambae anajiita ‘Baba Wanjera’ na mwigizaji Wema Sepetu ambae ameitwa kama Wanjera walikuwa wakifanya kazi na sio malavidavi kama ilivyokuwa ikidhaniwa siku za hivi karibuni kutokana ukaribu waliokuwa nao.
Leo saa 4 asubuhi ngoma ya Ommy inayokwenda kwa jina la Wanjera itaruka hewani kwenye TV na redio zote ndani na nje ya nchi.
Jionee baadhi ya picha zitakazo onekana kwenye ngoma hiyo.
Mzee wa...