WASTARA ACHEKELEA UBUYU, KULIKONI?
![](http://api.ning.com:80/files/jF4-qtz-5QeDzYL4Fy3sDIxlp9yPrkUlaVlF2XN90FFrRl0fpuWdXYZ3brhFx-VowzWs7NQHKFPd8WHA347JFiW1Kq48qouL/wastara.jpg?width=450)
Na Hamida Hassan STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibua maswali baada ya kuonekana akifakamia ubuyu kwa wingi huku wengi wakidhani labda amenasa! Tehe! Wastara Juma. Mkali huyo wa hisia awapo mbele ya kamera, alinaswa na kamera yetu hivi karibuni akiwa lokesheni na wasanii wengine ambao nao pia walikula lakini si kwa sana kama yeye. Risasi Mchanganyiko lilimuweka mtu kati ambapo alisema: “Jamani... mimi napenda...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 Jan
Ubuyu: Wastara Amchunguza na Kumpiga Msasa Bond Kabla ya Kumuweka "Ofisho"!!
Baada ya tetesi kuzagaa mitaani kwamba wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim wanatoka kimapenzi, bidada huyo ameibuka na kufunguka kuwa bado hajamkubalia jumla Bondi kwani bado anamchunguza.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini.
“Bondi ninamchunguza kwanza na kumpiga msasa awe wa tofauti na alivyokuwa zamani sijamtangaza rasmi kwa sababu kuna vitu bado sijajiridhisha kwake...
10 years ago
Bongo Movies21 Mar
Ubuyu Kuhusu Wolper Kumpiga Mizinga Bwana wa Wastara Huu Hapa
Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi.
Kwa mujibu wa gazeti la Risasi, chanzo chao makini makini kilicho karibu na Mark ambaye ni mfanyabiashara mwenye maduka ya nguo jijini Dar, kilidokeza kuwa, kabla ya kuanzisha uhusiano na Wastara, Mark alikuwa na uhusiano na Wolper lakini alimshindwa kutokana na tabia hiyo ya kupiga mizinga.
“Yaani Wolper ni balaa, anampiga sana...
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Sarkozy kotini, kulikoni?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1ZQNaYXojJamVvoz2rBWc1LFsHQE1AEkpy2L1lzV1Xg2g1E9AC3n5W0TciiRpi48nzFHDLGM3mMcbDnyktAL-8E/334W.jpg?width=650)
VAI ACHEKELEA KUACHIKA!
10 years ago
BBCSwahili26 Aug
CCM na Waziri mkuu kulikoni ?
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Shamsa achekelea mpenzi mpya
Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford
Na Gladness Mallya
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameonesha furaha yake ya kuumaliza mwaka kwa kumpata mpenzi mpya, ambaye hata hivyo, alikataa kutaja jina lake.
Akizungumza na gazeti hili juzikati, Shamsa alisema mwaka huu pia umeweka historia kwa yeye kuweza kutimiza mambo yote aliyojipangia tangu alipoachana na baba wa mtoto wake.
“Nafurahi sana namaliza mwaka nikiwa nimetimiza malengo pia kuwa na mpenzi mpya ambaye ni mume wangu mtarajiwa, ndani ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL9CT3H8RGuimrVg0EdB8w61M47OmTL9J7WJWlk5C8up4opYVdGQ2-19DFksraDB*oPB9N0KKElnYCsjh-3A8X8H/Jokate.jpg)
JOKATE ACHEKELEA KUMBWAGA LULU
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Dk Magufuli achekelea makandarasi kuadhibiwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-tenlnzzeUS7p9hgx*I0YLXRol*NK1CqM4V*uG4uT1i463HKG6lVL1jc1kYr7tgdKuq2k1Q63Lfg4Yw4J87DKE6/WEMA.jpg)
WEMA ACHEKELEA KANDAMBILI ZA JOKATE