Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA ACHEKELEA KANDAMBILI ZA JOKATE

Stori: Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MBUNIFU wa mavazi na mtangazaji Bongo, Jokate Mwegelo amesababisha shosti yake, Wema Sepetu ‘Madam’ afurahi baada ya kumpelekea zawadi ya kandambili zake za Kidoti pamoja na vipodozi mbalimbali.
Jokate alisema Wema ni miongoni mwa watu ambao anawakubali kutokana na mchango mkubwa katika tasnia ya filamu Bongo, hivyo ameamua kumpelekea zawadi  ya bidhaa zake za Kidoti...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

JOKATE ACHEKELEA KUMBWAGA LULU

Na Hamida Hassan/Amani MWANAMITINDO na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo amekuwa tishio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini. Mwanamitindo na dairekta wa lebo ya Kidoti, Jokate Mwegelo. Mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali...

 

10 years ago

Bongo Movies

Vijimambo:Jokate Achekelea Kumbwaga Lulu

Mwanamitindo namuigizaji wa filamu , Jokate Mwegelo  ameibuka mshindi kwa urembo na muonekano katika picha zinazoonekana mitandaoni nchini na kumbwaga aliekuwa mshindani wake ,Elizabeth Michael ‘Lulu”.

Kwa mujibu wa GPL, mtandao mmoja wa hapa nchini umeendesha zoezi la kuweka picha zao kali zinazowaonesha wote wawili wakiwa na muonekano na picha kali huku wakiuliza nani zaidi ya mwenzake.Jokate ameibuka mshindi kwa kupigiwa kura tano huku watu wakimsifia kuwa ni wa kimataifa zaidi ambapo...

 

10 years ago

GPL

WEMA, JOKATE WAMZOMEA DIAMOND!

Musa Mateja
KAMA mbwai na iwe mbwai tu! Hiyo ndiyo kauli pekee iliyoweza kuakisi kitendo cha warembo, Wema Sepetu ‘Madam’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kuamua kumzomea zilipendwa wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuzidiwa tuzo na hasimu wake, Ali Kiba, Risasi Mchanganyiko lina full stori. Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheka baada Ali Kiba kuchukua tuzo ya nne kwenye Ukumbi wa...

 

11 years ago

GPL

JOKATE AFICHUA SIRI YA KUPATANA NA WEMA

Jokate Mwegelo. Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya
THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua siri ya kupatana na Wema Isaac Sepetu akisema kuwa sababu ya yeye kuonekana kwenye jukwaa moja na aliyekuwa hasimu wake huyo ni kutafuta amani ya moyo aliyokuwa ameikosa si kweli kwamba alisukumwa na nguvu ya pombe.… ...

 

9 years ago

Global Publishers

Wema, Jokate waungana kummaliza Diamond


Ali mkiba jokate na wema (2)Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba ‘King Kiba’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.

Na Musa Mateja
WAREMBO ‘classic’ ambao ni zao la Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu na Jokate Mwegelo wamedaiwa kuungana pamoja kumsapoti staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba ‘King Kiba’ ili kumfunika mpenzi wao wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Ali mkiba jokate na wema (1)Wema na Jokate ambao kwa nyakati tofauti waliwahi kulitumikia penzi la Diamond, Desemba 26, mwaka huu walipanda kwenye jukwaa la Kiba na kuanza kuonyesha uwezo wao wa...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND: WEMA, JOKATE, PENNY WALIGOMA KUNIZALIA

Stori: Waandishi Wetu
KWA mara ya kwanza ndani ya Global TV Online ya Global Publishers, supastaa ndani na nje ya Bongo kutoka muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewafungukia waliowahi kuwa wapenzi wake, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, Wema Sepetu ‘Madam’ na Penniel Mungilwa ‘Penny’ kuwa waligoma kumzalia mtoto. Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond...

 

10 years ago

Bongo Movies

DIAMOND:Wema, Jokate, Penny Hawakutaka Kuzaa Na Mimi

Akizungumza kwenye kipindi cha Live Chumba cha Habari kinachorushwa na Global TV online, Msanii wa muziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alieleza jinsi wapenzi wake wazamani ambao ni Mwigizaji Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na matangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’.

Diamond alifunguka baada ya kuulizwa kwamba amekuwa akitangaza kupenda watoto lakini kwa nini hana hata wa dawa licha ya kuwa na uhusiano  na wanawake tofoutitofauti.

Diamond: “Ni kweli napenda watoto lakini siwezi kupata mtoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani