Samatta mchezaji bora TP Mazembe
Mbwana Samatta ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2013 wa klabu ya Tout Puissant Mazembe.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Nov
Samatta awa mfungaji bora, TP Mazembe yachukua ubingwa wa Afrika
![Mbwana](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mbwana-300x194.jpg)
Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika baada ya kuifunga mabao 2-0 USM Alger ya Algeria kwenye fainali zilizochezwa jana mjini Lubumbashi.
Samatta alifunga bao moja kwenye mechi hiyo na kufikisha mabao saba yaliyomfanya kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.
Samatta aliyezaliwa Januari 7, 1992 anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu hiyo yenye makazi yake mjini Lubumbashi.
Mchezaji huyo anajulikana kutokana na magoli saba...
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Samatta kuwania tuzo ya mchezaji bora wa CAF
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Tuzo za Mchezaji Bora Afrika… Samatta Kukwea Pipa Kesho Kwenda Nigeria
Mbwana Samatta
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine kesho Jumatano anatarajiwa kuongozana na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya TP Mazembe ya Congo DR, Mbwana Samatta kuelekea nchini Nigeria kwenye sherehe za utoaji wa tuzo kwa wachezaji bora barania Afrika.
Mbwana Samatta
Mwesigwa anatarajiwa kuondoka na Samatta kuelekea Nigeria katika mji wa Abuja ambapo sherehe za utoaji tuzo hizo zitafayika Alhamisi Januari 7, ambapo siku ya...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Samatta aivizia TP Mazembe
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayechezea Klabu ya TP Mazembe ya DR. Congo, Mbwana Samatta, amesema hadi kufikia mwakani ndipo atajua hatima yake ya kucheza soka Barani Ulaya. Samatta, nyota...
9 years ago
Mwananchi02 Nov
Samatta aipaisha TP Mazembe
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GvFfwHMN-v7CjzNTMdP9yX1CUFtGxSBVTIbKMjdYa5nxVPS6QCtJsxIBkeFkg-t9DZbyb38NnuMkT6pq1FV*Q9Vv6AAx0Ryp/Samatta.jpg?width=650)
Samatta arejea TP Mazembe kishujaa
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Samatta ajibebesha mzigo TP Mazembe
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga TP Mazembe (DRC), Mbwana Samatta, amejibebesha mzigo baada ya kudai kuwa anataka kuiachia timu hiyo taji la Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya kutimkia Ulaya mwakani.
Samatta aliyeivusha TP Mazembe hadi nusu fainali ya michuano hiyo wikiendi iliyopita kwa kufunga mabao matatu ‘hat trick’ walipoifunga Moghreb Tetouan ya Morocco mabao 5-0, anamalizia mkataba wake kwa matajiri hao Februari mwakani.
Wakati...
11 years ago
TheCitizen01 Mar
Samatta leads TP Mazembe in stern test
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Mazembe yampa Samatta ulaji mwingine
Mchezaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta.
Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam
MAMBO yanazidi kunoga kwani TP Mazembe sasa inataka kumuuza straika wake Mbwana Samatta kwa timu ya Standard Liege baada ya RC Genk kuonekana wana fedha kiduchu.
Hadi wiki iliyopita wakati wa sikukuu ya Krismasi, Mazembe ilikuwa ikizungumza na Genk pia ya Uturuki lakini klabu hiyo ilishindwa kulipa dau la euro milioni 2.5 (Sh bilioni 5.7), ikawa inataka ipunguziwe.
Bosi wa Mazembe, Moise Katumbi alisafiri hadi Ubelgiji...