Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samatta aipaisha TP Mazembe

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameiongoza TP Mazembe kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya USM Alger katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliofanyika mjini Bologhine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Samatta aivizia TP Mazembe

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayechezea Klabu ya TP Mazembe ya DR. Congo, Mbwana Samatta, amesema hadi kufikia mwakani ndipo atajua hatima yake ya kucheza soka Barani Ulaya. Samatta, nyota...

 

9 years ago

Mtanzania

Samatta ajibebesha mzigo TP Mazembe

SamataNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga TP Mazembe (DRC), Mbwana Samatta, amejibebesha mzigo baada ya kudai kuwa anataka kuiachia timu hiyo taji la Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya kutimkia Ulaya mwakani.

Samatta aliyeivusha TP Mazembe hadi nusu fainali ya michuano hiyo wikiendi iliyopita kwa kufunga mabao matatu ‘hat trick’ walipoifunga Moghreb Tetouan ya Morocco mabao 5-0, anamalizia mkataba wake kwa matajiri hao Februari mwakani.

Wakati...

 

10 years ago

GPL

Samatta arejea TP Mazembe kishujaa

Mhambuliaji Mbwana Samatta. Na Mwandishi Wetu    
MSHAMBULIAJI Mbwana Samatta sasa anarejea nchini DR Congo kuendelea kuichezea klabu yake ya TP Mazembe, akionekana kama shujaa kutokana na kufaulu licha ya kushindwa kuchukuliwa kucheza Ulaya. Samatta alifanya majaribio katika kikosi cha CSKA Moscow cha Russia ambacho kilikuwa kimeweka kambi nchini Hispania.Meneja wa Mbwana Samatta, Jamal Kisongo amesema baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Samatta mchezaji bora TP Mazembe

Mbwana Samatta ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka 2013 wa klabu ya Tout Puissant Mazembe.

 

9 years ago

Global Publishers

Mazembe yampa Samatta ulaji mwingine

Samata-vs-MalawiMchezaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta.

Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam
MAMBO yanazidi kunoga kwani TP Mazembe sasa inataka kumuuza straika wake Mbwana Samatta kwa timu ya Standard Liege baada ya RC Genk kuonekana wana fedha kiduchu.

Hadi wiki iliyopita wakati wa sikukuu ya Krismasi, Mazembe ilikuwa ikizungumza na Genk pia ya Uturuki lakini klabu hiyo ilishindwa kulipa dau la euro milioni 2.5 (Sh bilioni 5.7), ikawa inataka ipunguziwe.

SamataBwana580211.jpgBosi wa Mazembe, Moise Katumbi alisafiri hadi Ubelgiji...

 

9 years ago

TheCitizen

Samatta sends TP Mazembe to CAF final

Taifa Stars’ striker, Mbwana Samatta yesterday sent a ‘warning message’ to the Flames of Malawi after striking twice when his Congolese side, TP Mazembe beat Al-Merreikh of Sudan 3-0 to qualify for the CAF Champions League final.

 

11 years ago

TheCitizen

Samatta leads TP Mazembe in stern test

TP Mazembe kick off their 2014 CAF Champions League campaign tomorrow with a visit to Cameroon to play Astres Douala in a first round, first leg tie in Douala.

 

9 years ago

Mtanzania

Mbwana Samatta aipeleka Mazembe fainali Afrika

samattaNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MABAO mawili yaliyopachikwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, yalichangia ushindi wa 3-0 na kuipeleka Klabu ya TP Mazembe kwenye fainali ya Klabu Bingwa Afrika.

TP Mazembe ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iliifunga El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali iliyochezwa jana.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Khartoum, TP Mazembe ililala 2-1 huku bao...

 

9 years ago

Mtanzania

Serikali yampa baraka Samatta, bado Mazembe

 

napeNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amepata  baraka kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, huku akisubiri ruhusa na baraka za aina hiyo kutoka kwa viongozi na mabosi wa klabu yake ya TP Mazembe ili aweze kujiunga kuichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.

Samatta aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, mara baada ya kumaliza mazungumzo na Waziri huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani