Mazembe yampa Samatta ulaji mwingine
Mchezaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta.
Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam
MAMBO yanazidi kunoga kwani TP Mazembe sasa inataka kumuuza straika wake Mbwana Samatta kwa timu ya Standard Liege baada ya RC Genk kuonekana wana fedha kiduchu.
Hadi wiki iliyopita wakati wa sikukuu ya Krismasi, Mazembe ilikuwa ikizungumza na Genk pia ya Uturuki lakini klabu hiyo ilishindwa kulipa dau la euro milioni 2.5 (Sh bilioni 5.7), ikawa inataka ipunguziwe.
Bosi wa Mazembe, Moise Katumbi alisafiri hadi Ubelgiji...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania31 Dec
Serikali yampa baraka Samatta, bado Mazembe
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amepata baraka kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, huku akisubiri ruhusa na baraka za aina hiyo kutoka kwa viongozi na mabosi wa klabu yake ya TP Mazembe ili aweze kujiunga kuichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.
Samatta aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, mara baada ya kumaliza mazungumzo na Waziri huyo...
10 years ago
Bongo Movies24 May
Mapenzi Yampa Ulaji Wema ‘Chungu cha 3’
Muigizaji na Muongozaji mkongwe wa bongo movies, Jacob Stephen ‘jb, amesema aliamua kumpa uchezajui mkuu wa filamu yake ya CHUNGU CHA TATU staa mrembo Wema Sepetu kutokana na umahiri wa masanii huyu kwas sababu amemudu sana sehemu za nmapenzi.
Aidha, Jb alisema Wema huwa makini katika uigizaji wa nafasi yake anayopangiwa na pia ni mwepesi wa kukubali kuwekwa katika kila sehemu atakayoambiwa acheze.
Watu watarajie mambo mazuri kutoka katika filamu ya chungu cha tatu ambayo itakuwa...
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Samatta aivizia TP Mazembe
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayechezea Klabu ya TP Mazembe ya DR. Congo, Mbwana Samatta, amesema hadi kufikia mwakani ndipo atajua hatima yake ya kucheza soka Barani Ulaya. Samatta, nyota...
9 years ago
Mwananchi02 Nov
Samatta aipaisha TP Mazembe
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Samatta mchezaji bora TP Mazembe
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Samatta ajibebesha mzigo TP Mazembe
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga TP Mazembe (DRC), Mbwana Samatta, amejibebesha mzigo baada ya kudai kuwa anataka kuiachia timu hiyo taji la Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya kutimkia Ulaya mwakani.
Samatta aliyeivusha TP Mazembe hadi nusu fainali ya michuano hiyo wikiendi iliyopita kwa kufunga mabao matatu ‘hat trick’ walipoifunga Moghreb Tetouan ya Morocco mabao 5-0, anamalizia mkataba wake kwa matajiri hao Februari mwakani.
Wakati...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GvFfwHMN-v7CjzNTMdP9yX1CUFtGxSBVTIbKMjdYa5nxVPS6QCtJsxIBkeFkg-t9DZbyb38NnuMkT6pq1FV*Q9Vv6AAx0Ryp/Samatta.jpg?width=650)
Samatta arejea TP Mazembe kishujaa
11 years ago
TheCitizen01 Mar
Samatta leads TP Mazembe in stern test
9 years ago
TheCitizen05 Oct
Samatta sends TP Mazembe to CAF final