Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coutinho apewa jukumu zito Yanga

Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amempa jukumu jipya zito kiungo mshambuliaji, Andrey Coutinho kwenye kikosi chake.Hiyo ni siku chache tangu ajiunge na kikosi hicho kinachojiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika litakalofanyika mwakani. Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Mbrazili huyo, jukumu hilo alilopewa ni kuhakikisha anapiga kona zote za upande wa kulia, yaani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Dida, Jaja, wabeba jukumu zito Yanga

Pambano la watani wa jadi, Yanga na Simba kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam litakuwa mtihani mkubwa kwa nyota watatu wa Yanga kwa sababu tofauti.

 

11 years ago

GPL

Jaja ampa jukumu zito Okwi Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amewapa majukumu mawinga wake kumpigia krosi nzuri mshambuliaji wake mpya, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Jaja, raia wa Brazil, alitua nchini Julai 15, mwaka huu na kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.
Mawinga wa timu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tenga akabidhiwa jukumu zito TFF

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemteua Rais aliyepita wa Shirikisho hilo, Leodegar Tenga, kuwa Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu Tanzania (TFF Development Trust Fund), ambao umezimiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Kerr ampa jukumu zito Hanspope Simba

dylanker-haiphongNA SAADA SALIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, ameipa jukumu zito kamati ya usajili ya klabu hiyo iliyo chini ya Mwenyekiti, Zacharia Hanspope, kuhakikisha wanasajili mshambuliaji kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Simba ina washambuliaji; Khamis Kiiza, Ibrahim Ajibu, Elias Maguli na Mussa Hassan ‘Mgosi’, lakini agizo hilo la kocha limetokana na ubutu ulioonekana katika timu yake.

Katika mchezo wake wa Jumamosi dhidi ya Sports Club Villa Uwanja wa Taifa, Simba...

 

10 years ago

GPL

APEWA JUKUMU LA KUWA MPISHI JESHINI

Jacob Steven Mbura ‘JB’. JACOB Steven Mbura ‘JB’ anaendelea na simulizi yake tamu ya safari ya maisha, tangu kuzaliwa, makuzi, malezi na kila hatua alizopita katika maisha yake hadi kufika alipo leo. Ni simulizi isiyochosha masikioni! Imejaa kila aina ya vimbwanga, matukio ya kushangaza na wakati mwingine masikitiko. Tuko sehemu ya tano sasa, wiki iliyopita aliishia pale alipoyakumbuka maisha matamu...

 

10 years ago

Habarileo

Coutinho chupuchupu Yanga

MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kuwakosa Coutinho, Sherman

Dar es Salaam. Yanga ipo kwenye hatihati ya kuwakosa wachezaji wake Andrey Coutinho, Kpah Sherman na Jerryson Tegete ambao ni majeruhi katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya Platinum ya Zimbabwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo amleta Coutinho Yanga

>Kocha mpya wa Yanga, Marcio Maximo amefungua ukurasa mpya na kipa Juma Kaseja na kuiaidi   kuing’arisha timu hiyo kimataifa kama ilivyo TP Mazembe, wakati kiungo Mbrazili, Andrey Coutinho akitua nchini jana tayari kujiunga na vigogo hao.

 

9 years ago

Habarileo

Salvatory amfagilia Coutinho Yanga

KIUNGO wa zamani wa Yanga, Salvatory Edward amesema winga Mbrazil wa timu hiyo, Andrey Coutinho anastahili kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani