Maximo amleta Coutinho Yanga
>Kocha mpya wa Yanga, Marcio Maximo amefungua ukurasa mpya na kipa Juma Kaseja na kuiaidi  kuing’arisha timu hiyo kimataifa kama ilivyo TP Mazembe, wakati kiungo Mbrazili, Andrey Coutinho akitua nchini jana tayari kujiunga na vigogo hao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Andrey Coutinho amtesa Marcio Maximo Yanga SC
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo,amesema hana uhakika kama Andrey Coutinho atacheza mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC, itakayochezwa kesho katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jn0HiigvFFwrycIIQYoiAiv-jX6mf99*P3BFu6hn23xgrfJxqOpOwJqtMOW7oLczsgqFidCalRntnsQtucPW4tMaZ*ChkWaa/MAXI.jpg)
Maximo amchunia Coutinho
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Maximo awatetea Coutinho, Jaja
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Makoye amshauri Maximo kuhusu Coutinho
10 years ago
Habarileo08 Aug
Coutinho chupuchupu Yanga
MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.
11 years ago
TheCitizen01 Jul
Yanga will be like TP Mazembe, says Maximo
11 years ago
TheCitizen14 Jul
Maximo says Yanga are going places
10 years ago
Mtanzania19 Dec
Maximo: Nawaangalia tu Yanga
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM,
IKIWA ni siku tano sasa zimepita tangu Yanga kutangaza kuachana na Kocha Mbrazil Marcio Maximo, kocha huyo amesema anawaangalia na kuwasikiliza viongozi wa timu hiyo ambao hadi sasa hawajampa barua ya kuvunja mkataba wake.
Kwa sasa, Maximo yupo katika hali ya sintofahamu kutokana na wiki nzima hii magazeti mbalimbali kuripoti juu ya klabu ya Yanga kumtema bila kumpa barua yoyote mpaka sasa.
Kocha huyo aliyejizolea sifa wakati akiwa na Timu ya Taifa ya...
9 years ago
Habarileo09 Dec
Mrithi wa Coutinho aiumiza Yanga
UONGOZI wa Yanga umesema haujutii uamuzi wake ya kuachana na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho kwani wapo katika mikakati ya kupata mchezaji mwenye tija katika michuano ya kimataifa mwakani.