Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrithi wa Coutinho aiumiza Yanga

UONGOZI wa Yanga umesema haujutii uamuzi wake ya kuachana na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho kwani wapo katika mikakati ya kupata mchezaji mwenye tija katika michuano ya kimataifa mwakani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Yanga yamalizana na mrithi wa Twite

Beki wa Yanga, Mbuyu Twite. Na Hans Mloli
DALILI za wazi za Yanga kuonyesha kukata tamaa ya kuendelea kuwa na beki wake, Mnyarwanda Mbuyu Twite, zimefikia kwenye kiwango cha juu baada ya kukubali kuachia aondoke kwa kuwa imeshindwa dau analohitaji, lakini sasa imeenda mbele zaidi kwa kutafuta mrithi wake mapema. Twite amekuwa akiwaniwa na Azam FC kwa muda mrefu na tayari ameshafanya mazungumo na viongozi wa klabu zote, lakini...

 

10 years ago

Habarileo

Coutinho chupuchupu Yanga

MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kuwakosa Coutinho, Sherman

Dar es Salaam. Yanga ipo kwenye hatihati ya kuwakosa wachezaji wake Andrey Coutinho, Kpah Sherman na Jerryson Tegete ambao ni majeruhi katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya Platinum ya Zimbabwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo amleta Coutinho Yanga

>Kocha mpya wa Yanga, Marcio Maximo amefungua ukurasa mpya na kipa Juma Kaseja na kuiaidi   kuing’arisha timu hiyo kimataifa kama ilivyo TP Mazembe, wakati kiungo Mbrazili, Andrey Coutinho akitua nchini jana tayari kujiunga na vigogo hao.

 

9 years ago

Habarileo

Salvatory amfagilia Coutinho Yanga

KIUNGO wa zamani wa Yanga, Salvatory Edward amesema winga Mbrazil wa timu hiyo, Andrey Coutinho anastahili kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yamuacha Coutinho kwenda Botswana

Azam FC imeondoka wiki hii kuelekea Khartoum,Sudan kwa mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

11 years ago

GPL

Coutinho anogewa na sembe, ubwabwa Yanga SC

Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho.
Na Wilbert Molandi
AKIWA amefikisha wiki mbili tangu atue Yanga, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mbrazili, Andrey Coutinho, amefurahia mchanganyiko wa vyakula vya nchini. Mbrazili huyo alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza na Championi Jumatatu, Coutinho alisema vyakula...

 

9 years ago

Mwananchi

USAJILI: St. George kumchomoa Coutinho Yanga

Dirisha dogo la usajili litakalofunguliwa siku kumi zijazo, Novemba 15 itashuhudiwa klabu mbalimbali za Ligi Kuu zikifanya mabadiliko kwenye vikosi vyao. Yanga imepanga kumpiga bei kiungo wake mshambuliaji ,  Andrey Coutinho kwenye klabu ya St. George ya Ethiopia ambayo imekuwa ikionyesha nia ya kumtaka Mbrazili huyo.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Yanga yawakata Zutah, Coutinho

Wakati Yanga ikimpa majaribio kiungo Mcameroon Batetakana Flavius kwa ajili ya usajili msimu  ujao, uongozi  wa klabu umeamua kusitishwa kwa mikataba ya nyota wao wawili wa kigeni,  Joseph Zutah na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani