Coutinho anogewa na sembe, ubwabwa Yanga SC
![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akQ9Pc3wnMxPU0xsXKH2kJ0C-FJ*WRu270H*sJDn1KSQcdpKCxUYAfm0xBvQgHXEyEsAA1JqnSbZv5PU5wU5hL0s/coutinho.gif?width=650)
Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Na Wilbert Molandi AKIWA amefikisha wiki mbili tangu atue Yanga, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mbrazili, Andrey Coutinho, amefurahia mchanganyiko wa vyakula vya nchini. Mbrazili huyo alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza na Championi Jumatatu, Coutinho alisema vyakula...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo08 Aug
Coutinho chupuchupu Yanga
MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Yanga kuwakosa Coutinho, Sherman
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Maximo amleta Coutinho Yanga
9 years ago
Habarileo09 Dec
Mrithi wa Coutinho aiumiza Yanga
UONGOZI wa Yanga umesema haujutii uamuzi wake ya kuachana na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho kwani wapo katika mikakati ya kupata mchezaji mwenye tija katika michuano ya kimataifa mwakani.
9 years ago
Habarileo23 Oct
Salvatory amfagilia Coutinho Yanga
KIUNGO wa zamani wa Yanga, Salvatory Edward amesema winga Mbrazil wa timu hiyo, Andrey Coutinho anastahili kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara.
9 years ago
Mwananchi04 Nov
USAJILI: St. George kumchomoa Coutinho Yanga
10 years ago
Mwananchi05 Aug
USAJILI: Yanga yawakata Zutah, Coutinho
11 years ago
GPLCoutinho atupia mabao mawili Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyQYleZM2l34Vygsi3lKxJyqqnZhcjUnW7zYM*w5VpmE9uIgyt0uRe1T-o4ryhkXjvk2TpEdCUe14zX07Jd*BqFQ/CORT.jpg)
Coutinho apewa jukumu zito Yanga