USAJILI: Yanga yawakata Zutah, Coutinho
Wakati Yanga ikimpa majaribio kiungo Mcameroon Batetakana Flavius kwa ajili ya usajili msimu ujao, uongozi wa klabu umeamua kusitishwa kwa mikataba ya nyota wao wawili wa kigeni, Joseph Zutah na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Nov
USAJILI: St. George kumchomoa Coutinho Yanga
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Yanga: Zutah bado ni mali yetu
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa klabu ya Yanga umesema beki wa kimataifa wa timu hiyo, Joseph Zutah, bado ni mali yao halali licha ya kuwa jina lake halipo katika orodha ya wachezaji iliyowasilishwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Jonas Tibohora, alisema jina la Zutah halipo kwenye orodha ya wachezaji watakaocheza msimu mpya wa Ligi Kuu lakini wana mipango ya muda mrefu na mchezaji huyo.
Tibohora alisema mpango wao...
10 years ago
Habarileo08 Aug
Coutinho chupuchupu Yanga
MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.
9 years ago
Habarileo23 Oct
Salvatory amfagilia Coutinho Yanga
KIUNGO wa zamani wa Yanga, Salvatory Edward amesema winga Mbrazil wa timu hiyo, Andrey Coutinho anastahili kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara.
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Yanga kuwakosa Coutinho, Sherman
11 years ago
Mwananchi28 Jun
Maximo amleta Coutinho Yanga
9 years ago
Habarileo09 Dec
Mrithi wa Coutinho aiumiza Yanga
UONGOZI wa Yanga umesema haujutii uamuzi wake ya kuachana na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho kwani wapo katika mikakati ya kupata mchezaji mwenye tija katika michuano ya kimataifa mwakani.
11 years ago
GPLCoutinho atupia mabao mawili Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akQ9Pc3wnMxPU0xsXKH2kJ0C-FJ*WRu270H*sJDn1KSQcdpKCxUYAfm0xBvQgHXEyEsAA1JqnSbZv5PU5wU5hL0s/coutinho.gif?width=650)
Coutinho anogewa na sembe, ubwabwa Yanga SC