Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga kuwakosa Coutinho, Sherman

Dar es Salaam. Yanga ipo kwenye hatihati ya kuwakosa wachezaji wake Andrey Coutinho, Kpah Sherman na Jerryson Tegete ambao ni majeruhi katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya Platinum ya Zimbabwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sherman, Coutinho waja leo Tanga

Ni dhahiri Yanga inaingia Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kuikabili Coastal Union huku ikisutwa na kiwango duni cha washambuliaji wake, akiwamo Kpah Sherman ambaye amecheza dakika 360 bila bao.

 

10 years ago

Habarileo

Yanga wamuuza Sherman

KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kumuuza kwa mkataba wa miaka mitatu mshambuliaji wake raia wa Liberia, Kpah Sherman aliyejiunga na timu ya Mpumalanga Black Aces iliyopanda kucheza Ligi Kuu ya Afrika Kusini ya PSL msimu huu.

 

10 years ago

Habarileo

Coutinho chupuchupu Yanga

MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.

 

9 years ago

Habarileo

Mrithi wa Coutinho aiumiza Yanga

UONGOZI wa Yanga umesema haujutii uamuzi wake ya kuachana na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho kwani wapo katika mikakati ya kupata mchezaji mwenye tija katika michuano ya kimataifa mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo amleta Coutinho Yanga

>Kocha mpya wa Yanga, Marcio Maximo amefungua ukurasa mpya na kipa Juma Kaseja na kuiaidi   kuing’arisha timu hiyo kimataifa kama ilivyo TP Mazembe, wakati kiungo Mbrazili, Andrey Coutinho akitua nchini jana tayari kujiunga na vigogo hao.

 

9 years ago

Habarileo

Salvatory amfagilia Coutinho Yanga

KIUNGO wa zamani wa Yanga, Salvatory Edward amesema winga Mbrazil wa timu hiyo, Andrey Coutinho anastahili kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara.

 

11 years ago

GPL

Coutinho apewa jukumu zito Yanga

Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amempa jukumu jipya zito kiungo mshambuliaji, Andrey Coutinho kwenye kikosi chake.Hiyo ni siku chache tangu ajiunge na kikosi hicho kinachojiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika litakalofanyika mwakani. Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho. Mbrazili huyo, jukumu hilo alilopewa ni kuhakikisha anapiga kona zote za upande wa kulia, yaani...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Yanga yawakata Zutah, Coutinho

Wakati Yanga ikimpa majaribio kiungo Mcameroon Batetakana Flavius kwa ajili ya usajili msimu  ujao, uongozi  wa klabu umeamua kusitishwa kwa mikataba ya nyota wao wawili wa kigeni,  Joseph Zutah na kiungo Mbrazili Andrey Coutinho.

 

11 years ago

GPL

Coutinho anogewa na sembe, ubwabwa Yanga SC

Kiungo mpya wa Yanga, Mbrazili, Andrey Coutinho.
Na Wilbert Molandi
AKIWA amefikisha wiki mbili tangu atue Yanga, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mbrazili, Andrey Coutinho, amefurahia mchanganyiko wa vyakula vya nchini. Mbrazili huyo alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika. Akizungumza na Championi Jumatatu, Coutinho alisema vyakula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani