Yanga wamuuza Sherman
KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kumuuza kwa mkataba wa miaka mitatu mshambuliaji wake raia wa Liberia, Kpah Sherman aliyejiunga na timu ya Mpumalanga Black Aces iliyopanda kucheza Ligi Kuu ya Afrika Kusini ya PSL msimu huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Apr
Yanga kuwakosa Coutinho, Sherman
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zaNra-UMzL8Gfc9e*g5Uj2kF6XmOkuNV0D84KeRub1bWm3es8XVz-TWxksSgpgUSMGtONzUVafl3HvddIsm2gTe/BACKIJUMAA.gif?width=650)
MADHARA YA POMBE ZA OFA! ALEWA AZIMIA WAHUNI WAMUUZA!
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Sherman kwenda Sauzi kesho
MSHAMBULIAJI wa Yanga Kpar Sherman raia wa Liberia anatarajia kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini katika timu ya Mpululanga black Acse kwa ajili ya kufanyiwa vipimo kabla ya kusajiliwa rasmi.
Katibu Mkuu wa Yanga Jonas Tiboroha alithibitisha kuondoka kwa mchezaji huyo raia wa Liberia na kuwa uongozi umempa baraka zote.
Alisema leo atakuwa anamalizia masuala ya mwisho ili aweze kupata visa na kesho atakuwa safarini kwenda Afrika kusini kwa ajili ya vipimo.
“Sherman anaenda...
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Olunga kuziba nafasi ya Sherman
MSHAMBULIAJI nyota wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga ametajwa kuingia kwenye rada za kujiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu, Yanga ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Kpah Sherman wa Liberia ambaye yuko mbioni kusajiliwa na Mpumalanga FC ya Afrika Kusini.
Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa bechi la ufundi alisema kocha wao mkuu Hans Van Pluijm anamtaka mshambuliaji huyo kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao.
Kiongozi huyo ambaye...
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Sherman aota kuifunga Simba
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Sherman, Coutinho waja leo Tanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vanfKzplWu-qeRd4s-FNH0PAwI3NBDfAtPiHFD81gR3OLus*65kQunDB9WQfTeecH4NqfSQuBX-Y3mZWFoVZTZ-4m*1rUI-Z/p.jpg)
Pluijm: Tambwe, Sherman wataongoza maangamizi