Sherman aota kuifunga Simba
Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman ni kama tayari ameondoa ‘gundu’ baada ya juzi kufunga bao kali kwenye mazoezi na kuwafanya wenzake wampigie saluti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi14 Jul
MALENGO: Kerr aota ubingwa Simba
9 years ago
Habarileo23 Sep
‘Yanga kuifunga Simba’
MSHAURI wa benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Abdallah Kibaden, ameipa nafasi kubwa klabu ya Yanga kushinda pambano la watani wa jadi Simba na Yanga litakalofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Simba yajinasibu kuifunga Kagera sugar
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Kipimo cha uongozi si kuifunga Simba au Yanga
10 years ago
Mwananchi22 Dec
Kipimo cha uongozi siyo kuifunga Simba au Yanga
10 years ago
MichuziSIMBA YASHINDWA KUIFUNGA EXPRESS YA UGANDA NYUMBANI, ZATOKA 0-0, UWANJA WA TAIFA LEO
(Picha zote na Francis Dande)
10 years ago
Habarileo04 Aug
Yanga wamuuza Sherman
KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kumuuza kwa mkataba wa miaka mitatu mshambuliaji wake raia wa Liberia, Kpah Sherman aliyejiunga na timu ya Mpumalanga Black Aces iliyopanda kucheza Ligi Kuu ya Afrika Kusini ya PSL msimu huu.
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Olunga kuziba nafasi ya Sherman
MSHAMBULIAJI nyota wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga ametajwa kuingia kwenye rada za kujiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu, Yanga ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Kpah Sherman wa Liberia ambaye yuko mbioni kusajiliwa na Mpumalanga FC ya Afrika Kusini.
Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa bechi la ufundi alisema kocha wao mkuu Hans Van Pluijm anamtaka mshambuliaji huyo kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao.
Kiongozi huyo ambaye...
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
Sherman kwenda Sauzi kesho
MSHAMBULIAJI wa Yanga Kpar Sherman raia wa Liberia anatarajia kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini katika timu ya Mpululanga black Acse kwa ajili ya kufanyiwa vipimo kabla ya kusajiliwa rasmi.
Katibu Mkuu wa Yanga Jonas Tiboroha alithibitisha kuondoka kwa mchezaji huyo raia wa Liberia na kuwa uongozi umempa baraka zote.
Alisema leo atakuwa anamalizia masuala ya mwisho ili aweze kupata visa na kesho atakuwa safarini kwenda Afrika kusini kwa ajili ya vipimo.
“Sherman anaenda...