Simba yajinasibu kuifunga Kagera sugar
Kocha wa mabingwa wa zamani wa Tanzania Bara, Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiipigia mahesabu ya ushindi timu ya Kagera Sugar.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/kiiza.jpg?width=650)
SIMBA WAICHAPA KAGERA SUGAR 3-1
TIMU ya Simba SC leo imeibuka kifua mbele baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao yote ya Wekundu wa Msimbazi yamewekwa kimiani na mshambuliaji raia wa Uganda, Hamis Kiiza aliyepiga 'hat trick' na kuondoka na mpira wake baada ya mechi. Bao pekee la Kagera Sugar limefungwa na Mbarak Yusuf. Kwa matokeo ya leo, Simba...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Kagera Sugar yaiandalia Simba mazoezi rasmi
Kagera Sugar inaanza mazoezi yake kesho kujiandaa na Ligi Kuu, lakini imewaambia Simba kuwa itawasambaratisha katika mchezo baina yao.
10 years ago
TheCitizen26 Dec
SOCCER: Simba eye Kagera Sugar scalp
>After a three-month lull, the Mainland Premier League resumes today with one match on the menu at the National Stadium.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DEcqTAMOALE/VJyR3WIFNQI/AAAAAAAG50E/Djr26ui-NEE/s72-c/download%2B(2).jpg)
Simba SC , Kagera Sugar vita mpya uwanja wa Taifa leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-DEcqTAMOALE/VJyR3WIFNQI/AAAAAAAG50E/Djr26ui-NEE/s1600/download%2B(2).jpg)
9 years ago
Habarileo23 Sep
‘Yanga kuifunga Simba’
MSHAURI wa benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Abdallah Kibaden, ameipa nafasi kubwa klabu ya Yanga kushinda pambano la watani wa jadi Simba na Yanga litakalofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Kagera Sugar kuteseka Bara
Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 itaanza keshokutwa huku ratiba ya ligi hiyo ikizipa nafasi za kusafiri umbali mfupi zaidi timu za Ruvu Shooting, Azam na Yanga wakati Kagera Sugar, Mbeya City, Polisi Morogoro na Stand United ndizo zitakazosafiri umbali mrefu zaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania