Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kagera Sugar yaiandalia Simba mazoezi rasmi

Kagera Sugar inaanza mazoezi yake kesho kujiandaa na Ligi Kuu, lakini imewaambia Simba kuwa itawasambaratisha katika mchezo baina yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KAGERA SUGAR KUANZA MAZOEZI RASMI JANUARI 2

KLABU ya Kagera Sugar inaingia kambini desemba 31 mwaka huu, lakini mazoezi yataanza rasmi januari pili mwakani kujiwinda na mzunguko wa pili  ligi kuu soka Tanzania bara unaotarajia kuanza kushika kasi januari 25, 2014. Kocha msaidizi wa klabu hiyo, Murage Kabange ameuambia mtandao huu kuwa nia yao ni kurejesha makali yao kama msimu uliopita. “Mipango ya kambi imekamilika, mimi na kocha mkuu Jackson Mayanja tunajiandaa...

 

10 years ago

Michuzi

STAND UNITED WATUA BUKOBA! WAFANYA MAZOEZI KAITABA TAYARI KWA KUUMANA NA KAGERA SUGAR KESHO JUMAMOSI

Wachezaji wa Stand United wakifanya mazoezi yao ya Mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini tayari kwa kuumana na Wenyeji wao Kagera Sugar kesho Jumamosi tarehe 18, 2014
Na Faustine Ruta, BukobaJumla ya wachezaji 26 wa Timu ya Stand United ya Shinyanga wametua mjini Bukoba leo  kwa ajili ya kipute cha Ligi kuu ya  Vodacom msimu wa 2014-15 na  wenyeji wao Kagera Sugar wamefanya mazoezi yao kwa mara ya kwanza Kagera kwenye Uwanja wa Kaitaba.Wachezaji hao, wakiongozwa na Kocha Mkuu Emmanuel...

 

9 years ago

GPL

SIMBA WAICHAPA KAGERA SUGAR 3-1

TIMU ya Simba SC leo imeibuka kifua mbele baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyopigwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao yote ya Wekundu wa Msimbazi yamewekwa kimiani na mshambuliaji raia wa Uganda, Hamis Kiiza aliyepiga 'hat trick' na kuondoka na mpira wake baada ya mechi. Bao pekee la Kagera Sugar limefungwa na Mbarak Yusuf. Kwa matokeo ya leo, Simba...

 

10 years ago

BBCSwahili

Simba yajinasibu kuifunga Kagera sugar

Kocha wa mabingwa wa zamani wa Tanzania Bara, Simba, Mserbia Goran Kopunovic akiipigia mahesabu ya ushindi timu ya Kagera Sugar.

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER: Simba eye Kagera Sugar scalp

>After a three-month lull, the Mainland Premier League resumes today with one match on the menu at the National Stadium.

 

10 years ago

Michuzi

Simba SC , Kagera Sugar vita mpya uwanja wa Taifa leo

Kagera Sugar FCSimba FCNa Sultani KipingoBaada ya mapumziko ya karibu miezi miwili, vumbi la Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kutimka tena kuanzia leo kwa pambano moja litakalochezwa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam kwa kuzikutanisha Simba SC na Kagera Sugar FC. Simba ambayo imelitumia vyema dirisha dogo la usajili kwa kufanya usajili wa baadhi ya nyota kuimarisha kikosi chao itaivaa Kagera ikitokea Zanzibar ilipokuwa imeweka kambi yao tangu Jumapili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani