Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm: Tambwe, Sherman wataongoza maangamizi

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm. Na Said Ally
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm ametamka wazi kuwa ataendelea kutumia mfumo wa kutumia mastraika watatu katika michezo mbalimbali ya timu hiyo kama alivyofanya katika mchezo dhidi ya Azam FC kutokana na kuhitaji kikosi hicho kupata ushindi wa mabao mengi katika kila mchezo wake. Yanga ilionekana kucheza kwa kufanya mashambululizi mengi katika mechi dhidi ya Azam, wikiendi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Pluijm, Tambwe wakamiana

>Kocha  wa Yanga, Hans van Pluijm na mshambuliaji wa Simba, Amis Tambwe kila moja amejigamba kuhakikisha klabu yake inamaliza msimu kwa kupata ushindi katika mchezo  wa mwisho baina ya timu hizo.

 

10 years ago

GPL

Pluijm ampa siku 14 Tambwe

Amissi Tambwe. Na Hans Mloli
KATIKA kuhakikisha kikosi chake kinafanya vizuri msimu ujao, Kocha wa Yanga, Mdachi, Hans van Der Pluijm, amekuja na mipango mizito ikiwemo ya kutenga siku 14 za kukaa na wachezaji wake nje ya Mji wa Dar es Salaam, siku chache kabla ya kuanza kwa ligi kwa ajili ya kuwapatia ‘silaha’ nzitonzito. Pluijm ameliambia Championi Jumatatu kuwa anajua msimu ujao utakuwa mgumu na utachangamka...

 

9 years ago

Habarileo

Tambwe ampa raha Pluijm

KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm, amesema kupona kwa mshambuliaji wake Mrundi Amissi Tambwe, kumeongeza matumaini ya kushinda mechi ya Jumamosi dhidi ya Mgambo JKT Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

9 years ago

Habarileo

Pluijm awafagilia Tambwe, Busungu

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Van Pluijm, amewakingia kifua washambuliaji wa timu hiyo, Amis Tambwe na Malimi Busungu na kusema kwamba hajali kama hawajafunga kwenye mechi za karibuni.

 

10 years ago

GPL

Pluijm: Tambwe atakuwa mfungaji bora

Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Na Omary Mdose
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amewashangaa wanaosema kuwa mshambuliaji wake, Mrundi, Amissi Tambwe hawezi kuwa mfungaji bora katika Ligi Kuu Bara, msimu huu. Tambwe ambaye amejiunga na Yanga akitokea Simba ikiwa ni siku moja kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Desemba 15, mwaka jana, alikuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu...

 

10 years ago

Habarileo

Yanga wamuuza Sherman

KLABU ya soka ya Yanga imefanikiwa kumuuza kwa mkataba wa miaka mitatu mshambuliaji wake raia wa Liberia, Kpah Sherman aliyejiunga na timu ya Mpumalanga Black Aces iliyopanda kucheza Ligi Kuu ya Afrika Kusini ya PSL msimu huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Maangamizi

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Yanga jana waliichakaza Prisons kwa mabao 5-0, lakini hawakuweza kushika usukani baada ya Azam kuendelea kujichimbia kileleni kwa kushinda 2-0 dhidi ya Mgambo Shooting.

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kuwakosa Coutinho, Sherman

Dar es Salaam. Yanga ipo kwenye hatihati ya kuwakosa wachezaji wake Andrey Coutinho, Kpah Sherman na Jerryson Tegete ambao ni majeruhi katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika dhidi ya Platinum ya Zimbabwe.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Olunga kuziba nafasi ya Sherman

MSHAMBULIAJI nyota wa Gor Mahia ya Kenya, Michael Olunga ametajwa kuingia kwenye rada za kujiunga na mabingwa watetezi wa ligi kuu, Yanga ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Kpah Sherman wa Liberia ambaye yuko mbioni kusajiliwa na Mpumalanga FC  ya Afrika Kusini.

Akizungumza na Raia Tanzania jana jijini Dar es Salaam, mmoja wa viongozi wa bechi la ufundi alisema kocha wao mkuu Hans Van Pluijm anamtaka mshambuliaji huyo kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao.

Kiongozi huyo ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani